Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,282

Mkuu niombee kwa Tumosa anifanyie maombi yangu binafsi pm!
Ngojaaa upigweee mimi simoMkuu niombee nipatiwe maombi pm!
Mimi ni maombi tu nataka nifanyiwe mkuu na wala siyo kitu kingine,na itapendeza sana maombi yangu nifanyiwe binafsi kule pm!Ngojaaa upigweee mimi simo View attachment 885801
Ebhuuu jaribuuu make yawezekana ana mwez hajaona pmMimi ni maombi tu nataka nifanyiwe mkuu na wala siyo kitu kingine,na itapendeza sana maombi yangu nifanyiwe binafsi kule pm!
Nasikia na nguvu za kiume eti kwenye juice ya tendeSABABU KUMI KWANINI UNATAKIWA KUANZA KULA TENDE
1.Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora!
2.Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madini mengi ya chuma.
3.Hupunguza uwezekano wa kupata Kiharusi (stroke) kwani hazina cholesterol kabisa! Pia zina vitamini na madini kwa wingi.
4. Huongeza uwezo wa Kujamiiana kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha nguvu
5.Hupunguza madhara ya pombe mwilini na kurudisha afya ya mtu.
AiseeeeMADHARA 10 YA KUTUMIA SHISHA! (VIJANA WENGI HAWAJAYAJUI)
1.Kansa
Licha ya kupita ndani ya maji, moshi wa shisha huwa na kiwango kikubwa cha carbon monoxide na nicotine ambazo humfanya mtumiaji awe kwenye hatari kubwa ya Kupata Tatizo la kansa ya koo, ama mapafu.
2.Matatizo ya Moyo
Moshi na tumbaku husababisha mishipa ya damu ya artery Kuziba, Matokeo yakemoyo hushindwa kufanya kazi kwa ufanisi wake.
3.Huharibu Fizi (periodontal disease)
Hii hutokana na kuongezeka kwa kiasi cha sumu ya nicotine kwenye damu na fizi matokeo yake ni kuharibika kwa fizi na kupata matatizo ya meno.
4. Fangasi na Kifua kikuu (TB)
Kutokana na kutosafishwa vizuri kwa bomba za kuvutia shisha (hasa kutokana na wengi kujali kipato kuliko afya za watu) Mtumiaji hujiweka kwenye hatari kubwa ya Kupata magonjwa ya kuambukizwa kama fangasi, au hata vidonda vya tumbo kwa kuvuta kimelea cha helicobacteria
5.Kuzaa Njiti (mtoto mwenye uzito mdogo)
Hii ni kwa wanawake wanaotumia shisha wakiwa wajawazito. Pia mtoto huyo ni rahisi kuwa na magonjwa yanayohusiana na upumuaji
EeenhMsichana mwenye makalio makubwa obvious atakuwa na nyama nyama kwenye mapaja hii nyama nyama zinakuwa na act kama chock absober na kucushion ile hiting force ,especially when adrenaline na sympathetic flow is at peak and s3x is becoming hardcore, katika situation hiii , kimbau mbau anaweza teguka nyonga. if ur not doing that smoothly.![]()
MAAJABU KUMI (10) AMBAYO HUJUI KAMA MWILI WAKO HAUWEZI KUYAFANYA
10. Huwezi Kuandika Namba Sita Ukiwa Unazungusha Mguu Wako Wa Kulia Mwelekeo Wa Saa (Clockwise).Kaa Kwenye Kiti, Nyanyua Mguu Wako Wa Kulia Juu, Kisha Anza Kuuzungusha Kwa Duara Kwa Kufuata Muelekeo Wa Saa (Yaani Kutoka Kushoto Kwenda Kulia) Endelea Kufanya Hivyo Huku Unaandika Nambasita (6). Umegundua Nini? Mguu Wako Umegeuka Na Kuanza Kuzunguka Muelekeo Wa Kushoto!!
9. Huwezi Kurusha Mate Ukiwa Umeachama Mdomo!
8. Huwezi Kunyanyua Kidole Chako Cha Pete Katika Hali Ifuatayo;
Kunja kidole chako cha katikati juu ya meza ukiviacha vidole vyako vinne vikiwa vimenyooka kama inavyoonekana kwenya picha kushoto. Jaribu kunyanyua dole gumba, kisha nyanyua kidole kinachofuata, na kidole kidogo cha mwisho... rahisi sio?? SASA nyanyua kidole cha pete... kimegoma!

Mzee wa chura karibuHodiiiiiii!

Heshima yako mkuuHaya mkuu,hizi shikamoo nyingine hizi!
Kaninyanganya abj sasa si shem
Maombi asubuhi mkuuNataka Tumosa aniombee yale maombi yake yale nasikia chura ipo pia!

Eiish
Makubwa haya
Wachaaa kabisaa ndugu yangu Obe anko shemejii atakupiga kipapaiii kwa mchuraa wakee...View attachment 885797
ndo nan huyoKesho asubuhi jamani!....Tumosa naomba uniombee yale maombi yako ambayo huwa unapiga hapa please!..nahitaji maombi kutoka kwako!
MmmmhMkuu niombee kwa Tumosa anifanyie maombi yangu binafsi pm!
SABABU KUMI KWANINI UNATAKIWA KUANZA KULA TENDE