Nasikia ww ni DJ....itabidi aibebe na bodaboda yangu🏍
Asante sana, nimeyasoma. Ujue ndugu yako mimi ninayasomaga wa mwisho ili kuondoa kero za wanywa keroro kuomba kurasa za michezo. Huwa sichoki kukuambia asante ujue. Na siku hizi Numbisa naye ananenepa kwa Asante zangu ninazompa kila nikisoma makala zakeBinamu shikamoo jamani nimeshakuwekea magazeti si unajua nikiwa sipo unavyoyamiss
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Nasikia ww ni DJ
Njoo Bunju kwenye hekalu langu uwapigie disco ng'ombe na mbuzi wangu nitakulipa X 5 ya kiasi unschohitaji
Wanapenda kwaito
Hawa mifugo wako wanapendaga miziki gani?
Huwa wanakula kwa shemeji Kama wewe?
Marhaba binamu, hujambo lakini?Shikamoo binamu
Muda wa kukulana eeenh mnakulana uko
Ukitekwa tekeka
Nataka nikalukule...Kama kawaida naona mmeshatekana sasa
Hahaaa😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Hawa mifugo wako wanapendaga miziki gani?
Huwa wanakula kwa shemeji Kama wewe?
Nataka tukachafue ukuta...! Tafuta fundi rangi kabisaaDada kaniruhusu kukulinda ujue hata akija hapa
We mwache tu ajifanyishe ubusy tumosa wake anagombaniwa humu kila mtu akija anasema wake
duuuhh kweli Africa tabu sanaWaathirika wa mafuriko Kaskazini mwa Ghana wameanza kuumwa tumbo baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kupikia yaliyoisha muda wa matumizi, waliyopewa na Makamu wa Rais, Mahamudu Bawumia.
Mafuta hayo yalitakiwa kumwagwa, lakini baada ya mafuriko, yalipelekwa kwa waathirika hao.View attachment 879587
Njooooo nitakupa kumnyima mtu kitu unacho dhambi sana
🗣ipo hiiHakuna button yakupiga mlunzi " Humu ""??
Leo nimekuwa mlinzi wa jukwaa haya ngoja niwalindie endeleeni kutekana

SijamboMarhaba binamu, hujambo lakini?
Ipi hyo binamuipo hii
Mefurahi eeehBinamu mboni kucheka?