Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
mgaagaa na upwa shikamoo
Nasikia ww ni DJ
Njoo Bunju kwenye hekalu langu uwapigie disco ng'ombe na mbuzi wangu nitakulipa X 5 ya kiasi unschohitaji
Asante sana, nimeyasoma. Ujue ndugu yako mimi ninayasomaga wa mwisho ili kuondoa kero za wanywa keroro kuomba kurasa za michezo. Huwa sichoki kukuambia asante ujue. Na siku hizi Numbisa naye ananenepa kwa Asante zangu ninazompa kila nikisoma makala zake
Hakuna button yakupiga mlunzi " Humu ""??
Woyooooooooooo nawaza tu itakavyokuwa jamaniNataka tukachafue ukuta...! Tafuta fundi rangi kabisaa
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Eti hata mjomba wangu anasemaga wake, anko wangu tuzidi kumuombea tu
Endelea kubarikiwa, kadri unavyokitumia ndo kinazidi kuwa bora na madhubuti. Dhambi inaua na uchoyo ni dhambi mbaya
mgaagaa na upwa shikamoo
PoleMmeniweza leo
Nmemuona amekatiza hapaAiseee
Unaongea peke yako au
Nmemuona amekatiza hapa
Pole
Kapita na likesUkimuona msalimie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
basi koma
NdiwooooKakulikes ww tu![]()