Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,282
****************************SIFA ZAKE ZA KIPEKEE *************
1. Ndio mnyama wa kwanza kwa kukimbia duniani, anapokimbia mwili wake hutengeneza alama ya moja kwa jinsi anavyofungua miguu yake.
2. Hukimbia km 120 kwa saa, kama isingelikuwa wanachoka basi elewa ya kwamba, zile basi za mikoani kwa mfano, zingekuwa zinaanza safari pamoja na duma, basi ni duma angelikuwa anafika mapema kuliko bus.
3. Akifunguka kwa spidi ya 120, tambua ya kwamba amepiga hesabu za kukamata windo lake na kama hatofanikiwa basi huzila kabisa na kuanza upyaa.
4. Asilimia zaidi ya 90 ya wanyama hawa wanapatikani Africa, huku Tanzania wakipatikana kwa idadi kubwa katika mbuga ya Serengeti.
4. Mbali kuongoza kwa kukimbia, lakini pia Duma ni mnyama mwenye mkwala mkali pasina mfano, unaweza muona anajaribu kumtisha simba, na sababu ya mkwala huo ni mbio tuu si ana hakika ye ndio anaongoza.

TUOMBE: