Mtu mzima huyo namwaribu vipi mm jamaniShunie anakuharibu mzee baba..![]()
Safi mrembo mzima wwHabari
Acha mikwara yako we mzeeKesho mwangalie TV enu kwa umakini nitakuwepo uzinduzi wa fyover pale Tazara
Mkiona tu helikopta mjue Andunje kawasili kutoka Bunju
2. Unaoga maji ya moto
Je unapenda kuoga maji ya moto asubuhi ? Hili ni kosa kwa sababu kuu mbili.
Kwanza, maji ya moto sana si mazuri kwa afya ya ngozi yako - hufanya ngozi kuzeeka mapema.
Pili, utafiti unaonyesha kuwa kuoga maji ya moto kunakufanya ujihisi uchovu na usingizi zaidi. Hivyo unaweza kuhisi kurudi kitandani kuendelea kulala.
Njia mbadala ni kuoga maji ya uvuguvugu. Haya ni maji yanayokupa nguvu kuanza siku. Kama unataka kuoga maji ya moto, basi subiria usiku ili upate kulala vizuri zaidi.
3. Unasahau kunywa maji
Watu wengi wana kasumba ya kunywa kahawa balada ya maji wakishaamka. Pengine ni kasumba kuwa kahawa huwafanya wajisikie vizuri na kuwapa ari ya kufanya kazi zaidi. Lakini si kweli. Maji ndio kitu muhimu zaidi asubuhi maana hukupa nguvu zaidi na kukufanya kuwa na ari ya kufanya kazi zaidi. Badilisha mwenendo, badala ya kahawa, anza na chai. Muhimu zaidi, kama utaweza kunywa maji ya limao, faida zake ni nyingi kama ilivyoelezewa hapa.
4. Unaacha staftahi
Je wewe ni mtu wa kudharau kupata kifungua kinywa kila asubuhi ? Basi jua kuwa hii siyo tabia nzuri. Kifungua kinywa ni muhimu sana mwilini sababu inakata njaa na kuupa mwili nguvu iliyopoteza usiku kucha wakati umelala. Unaweza kuangalia zaidi kwenye makala yetu ya nyuma hapa.
Mwanampotevu naona mmekimbiaHaaaaahaaaa aisee
5. Kama alivyo chui duma pia ni wanyama wazinzi, jike akibeba mimba ni yake hiyo, huwezi ona dume akitoa msaada wowote ule.
6.pamoja kwamba ndie mnyama wa ardhini mwenye kasi zaidi lakini kuna wakati hushindwa kukamata windo lake, na hii hutokea anapowinda mnyama ambaye anajua ya kwamba pamoja kwamba anamfukuza, mnyama huyo pia anajilinda.
7.ni nadra sana kuwaona wakifanya mambo yao yale, hupendelea sana usiri na utulivu.
8. Kosa kubwa utalifanya kwao ni endapo utawashitua wakati wakiwa wanafanya yao, ukali wao huongezeka mara dufu, hapa ni sawa na kumshitua teja ambaye stimu inaanza kumtembea.
9.pamoja kwamba wanyama hawa huwa hawaishi kifamilia, lakini Mara nyingi hufurahi kukaa pamoja katika makundi makundi, ambapo makundi hayo hutokea kwa kutegemea jinsia zao.
Shemela mimi nipoMwanampotevu naona mmekimbia
MFAHAMU FISI.
Fisi ni myama aishiye mbugani, ambaye ana sifa kemu kemu kwa wanadamu, pengine hii ni kutokana na kutokeza katika simulizi nyingi tulizokuwa tukijifunza katika hadithi, pindi tulipokuwa shule ya msingi, ana umaarufu wa jina la bwana afya wa porini, hii ni kutokana na sifa yake ya kula mizoga, lakini pia ni mnyama ambaye amepata sifa nyingi za kuwa bwege kutokana na kusumbuliwa sana sungura katika hadithi hizo za shule ya msingi.
Mnyama huyu ni maarufu na pengine ndiye mnyama pekee mwenye kufahamika zaidi katika bara la Afrika, hususani hapa nyumbani, kwani mbali na kutokea katika hadithi, lakini pia mnyama huyu baadhi ya makabila humtumia wanapocheza ngoma za asili, pia ana sifa ya kuhusishwa sana na imani za kishirikina, baadhi ya jamii anapoonekana hupigwa mpaka kufa kwa imani kwamba ni mtu amejibadilisha kuwa fisi.
Jamaa hawa yaani fisi huishi kifamilia na kwa taarifa yako ni kwamba hujenga kabisa sehemu wanazokaa, urefu wao ni zaidi ya nchi 35, huwa na uzito wa kilo zaidi ya 75 inategemea na umri, huishi zaidi ya miaka 20, hubeba mimba kwa miezi mitatu na akizidisha ni siku chache sana,huzaa watoto kuanzia wawili mpaka wanne, kichwa chake hufanana na mbwa ila tofauti yao ipo katika muonekano, fisi ni mnyama ambaye miguu yake ya nyuma ni mifupi zaidi, hivyo unaweza ukamgundua kwa jinsi anavyotembea na matendo yake, huishi popote sehemu kame, vichakani na hata sehemu ambazo zina majani yenye ukijani sana, hivyo ni mnyama ambaye popote kwake ni kambi.
Ana jinsia mbiliFisi jike huwa na muonekano wa jinsia mbili, katika uke wake kwa juu au sehemu ambayo mwanamke hukeketwa, ile sehemu kwa fisi huwa na ukubwa mkubwa sana inaweza fika nchi saba, jambo hilo humfanya aonekane na muonekano wa jinsia mbili.
Fisi wakikosana kwa kuibiana chakula au dume, na kwa bahati mbaya mmoja awe Mdogo, hupigana mpaka Mdogo kufa, na kama wapo sawa mnyonge hukimbia, wakati huo dume hubaki likishangaa tuu na kushindwa lianzie wapi.
Usisubutu kumvizia fisi kwa nyuma, namna pekee ya kujirinda hurusha kinyesi chake kwa ghafla na atakuacha ukiwa umechanganyikiwa huku yeye akikimbia.
Uoga kwake huisha akiwa na njaa Kali, kwa mfano hawezi kumuwinda binadamu mkubwa, lakini litokeapo suala la njaa Kali huwa hajali umri wa mtu.
Watoto wake wanapofikisha umri wa miaka miwili mama yao huwatimua, wakajitegemee.
Fisi anapokutana na watoto wa simba huwaua pasina huruma.
Fisi dume halitakagi kusikia habari za watoto, huwa linaamini ni Mali ya jike, hivyo hanaga nao msaada kabisa.
Fisi jike huwa na mwili mkubwa kuliko dume.
Adui yao mkubwa ni mbwa mwitu, kwakuwa huwapora nyama ambazo wao wametafuta kwa tabu sana, pengine kwa kuhatarisha maisha yao.
Fisi wanaogopa sana dume la simba, wanaweza kuwasumbua majike wa simba watatu lakini likija dume huwa linahakikisha mmoja kati yao anachechemea, hivyo wanapomuona simba dume hupiga kelele za kupeana habari kuna hatari.
Fisi ana uwezo mkubwa wa kunusa, hivyo ukifukia kitu hata chini anaweza kukitambua endapo tuu kina harufu ya damu damu.
Viumbe hawa wakijihakikishia akiba ya chakula katika himaya zao, basi hufanya sherehe na sherehe zao huwa na ufanano na sherehe za binadamu, hucheza, hufurahi, hufanya ngono na ugomvi huzuka pia wakati huo watoto wote hufichwa ndani ya nyumba.
Fisi jike huweza kupiga dume mpaka likahama nyumba, na hutumia sana ujanja huu endapo jike linataka kuishi na mchepuko wake ndani.
Fisi huamini pia katika umoja.
****************WANYAMA WABABE KWA FISI *****************
Fisi ni mnyama mnyonge sana na ni mnyama ambaye karibia wanyama wote wawindaji ni wababe kwake, kinachowasaidia ni hali ile ya kutembea makundi makundi yaani kifamilia, ndio huwafanya na wao waonekane kidogo wanajiweza.
***************UKIKUTANA NAYE UFANYE NINI******************
Kwanza kaa ukijua fisi sio mnyama wa kumchezea, naye ana uwezo wa kukurarua vile vile, usijeanza fikiria zile hadithi za shule ya msingi ukamchukulia pia, sungura mwenyewe akimuona anafungua njia vibaya sana, japokuwa si kiumbe anayevamia moja kwa moja, huuma kwa kuvizia, jihami vya kutosha na uwe na silaha nzuri kama fimbo nzito, mawe yenye ujazo mzito, na usimpe nafasi ya kumuonesha unamuogopa japokuwa kicheko chake chaweza kukutia hofu Mara dufu.
Ukumbuke anapotoa sauti hizo, wenzie wanaposikia hujua kina jambo, hivyo hakikisha haumpi nafasi hiyo, vinginevyo wakiwa zaidi ya wawili andika na wosia kabisa.
*******************************************
Wanyama hawa wapo wa kutosha sehemu kama ngorongoro ni zaidi ya uchafu, mikumi, Serengeti ndio usiseme, hapo hujamalizia na katavi, ni wanyama ambao kibali cha kumuweka kwenye zoo unaweza ukakipata ndani ya muda mfupi sana.
Za kuamka....
Alhamisi njema wadau
Shemela mimi nipo
Natembea sana tu huku, karibuni nitakuwepo muda wote, kazi zimebana sanaUpo ndio najua lakini sio makapuku naona mmetukimbia
Aisee, nilitakiwa kwenda huko mwezi ujao, lakini nimekataa aiseeHuzuni na Hasira zimeenea Mogadishu Somalia baada ya mzee Ahmed Muktar Salah kudungwa kisu na kuchomwa moto akiwa hai na watu wanaopinga ndoa ya mpwa wake Abulrahman Mukhtar anatokea jamii ya wabantu na bi Rukia Mohammed.
Ahmed ameacha wake 2 na watoto
12 .
Je kitendo kama hiki cha kibaguzi kwa misingi ya tabaka, kabila na rangi ya ngozi vimekuathiri katika kumtafuta mpenzi?View attachment 879077
Natembea sana tu huku, karibuni nitakuwepo muda wote, kazi zimebana sana