Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Umekataa sababu ya ubaguzi au sababu nyingineAisee, nilitakiwa kwenda huko mwezi ujao, lakini nimekataa aisee
Umekataa sababu ya ubaguzi au sababu nyingineAisee, nilitakiwa kwenda huko mwezi ujao, lakini nimekataa aisee
Anaona anaandika zile text zako za moto...sijui moto hauzimiMtu mzima huyo namwaribu vipi mm jamani




















hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiii 



















Anaona anaandika zile text zako za moto...sijui moto hauzimi![]()
Angalia asiaze kukopi zile na nakooooooo............siwezi hata kumaliza mimihauzimiiiiiiiiiiiiiiiiii
![]()



Nipo majukwaa yote, niko 30%active, sasa hivi na sign out mpaka usikuAcha vizingizio vyako shemela kazi zikubane usionekane makapuku majukwaa mengine upo active sawa bwana
Usalama mdogo sana hukoUmekataa sababu ya ubaguzi au sababu nyingine
Ni poaSafi habari
Shikamoo binamuAlhamisi njema wadau
TUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku hii ya leo.
Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.
Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.
Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.
Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.
Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua
.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Amen.
SIKU NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE![]()

Anaona anaandika zile text zako za moto...sijui moto hauzimi![]()
Ee hapo anakua keshapata kipozeo kingineUwiiii mm mmojawapo wa kudharau kifungua kinywa nikinywa ujue naumwa tena tumbo mm ni juice au soda
Akibeba mimba ni yake kwahiyo akizaa pia dume haonekani
poa mamieMoja ila kwa kuangalia unaweza dhani anazo mbiliNumbii mpenzi ebu punguza kidogo si unajua cha uvivu mm naonaje ndefu kama mwanzo
Ana jinsia mbili
Nakojoaaaaaaaaaaaaaa T nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaa TAngalia asiaze kukopi zile na nakooooooo............siwezi hata kumaliza mimi![]()























Nipo majukwaa yote, niko 30%active, sasa hivi na sign out mpaka usiku
NILIKUWA NAPITA ILA HII SAUTI IMENISABABISHIA MAUMIVU.Nakojoaaaaaaaaaaaaaa T nakojoaaaaaaaaaaaaaaaaaa T![]()
![]()