Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,198
zimechanganyika sana tatizo!..Mh umeanza sasa kusema hizo no zote zinakuhusu
zimechanganyika sana tatizo!..Mh umeanza sasa kusema hizo no zote zinakuhusu
Leo sitaki kukukorofisha nakubali yote!.. Ni kweli mama!.
Ila nina kamsemo kangu "uumbaji haukuishia pale!" 😉
zimechanganyika sana tatizo!..
kwanini watu wanachokana wakionana!?..Hahaha eti leo hutaki kunikorofisha uumbaji upi huo babe ambao haujaishia pale
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio vizuri mwanaume unatakiwa kuwa bizy bana!.Nalifahamu hilo ndio mana nakuvumilia sana ujue kuwa na mwanaume mwenye mambo mengi na kumvumilia ni kipaji
Uchome na mishikaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Baadae ngoja nijipikilishe
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Leo pilau maharage na kuku
Nko poa mimi mkuu za weweShunie tumosa bila shaka mko poa
Hahaha!! Pilau la arusha hilo nimelikumbukaWoyooooo maharage ungeyatoa hapo bana
Unapenda mishikaki wewe, ujue ni pacha Wa kitambi huo msosiUchome na mishikaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kije tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapenda mishikaki wewe, ujue ni pacha Wa kitambi huo msosi
Ninachohisi mm mtu anavyomfikilia mwenzie tofauti na alivyomuonakwanini watu wanachokana wakionana!?..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio vizuri mwanaume unatakiwa kuwa bizy bana!.
Hao wanatoka migomigo eenhWazee wa migo migo center Malcolm na wick habarini ya asubuhi
Tupo poa mzee wa chelsea habari yakoShunie tumosa bila shaka mko poa
Mm napenda sana mishkaki na beer mbona sina kitambiUnapenda mishikaki wewe, ujue ni pacha Wa kitambi huo msosi