Makapuku Forum

Makapuku Forum

1.Ukimpata Handsome, Kichwa Chake Ni Empty.
.
2. Ukimpata Genius, Yuko Serious Masaa 24 Na Wengi Huwa Hawako Romantic, Hawajipendi Kihiivyo, Wako Rafu Mno.
.
3. Ukimpata Tajiri, Mara Nyingi Hawezi Kukuheshimu Full Madharau, Utamwambia Nini Wakati Hela Anayo Bhana.
.
4. Ukimpata Mfanyakazi Hodari Na Mtafutaji, Hana Muda Wa Kuwa Na Wewe, Muda Wote Anawaza Kazi Na Kutafuta Maisha.
.
5. Ukimpata Mnyenyekevu, Mfukoni Huwa 0%.
.
6. Ukimpata Anayekupenda Kwa Dhati, Anakuwa Siyo Type Yako, Hana Pozi Zile Unazitaka Wewe.
.
7. Ukimpata Msomi, Hasikilizi Ushauri Wako, Anakuona Boya tu.
.
8. Ukimpata Yule Smart, Ni Muongo To The Maximum Na Player.
.
So listen to your heart... na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect, hata wewe hauko perfect.
.
Kwa nini kulilia watu perfect wakati wewe mwenyewe hauko perfect?? Cc Wick ukuje ujisomeView attachment 866765
Mweee
Hatujakamilika kwa kweli
 
Dooh
Nimewaza tu ingekuwa kwa binadamu yaani nilivyo na kinyaa nikiwa huko woiiii nahisi ningekufa
Screenshot_20180915-110037.jpeg
 
1.Ukimpata Handsome, Kichwa Chake Ni Empty.
.
2. Ukimpata Genius, Yuko Serious Masaa 24 Na Wengi Huwa Hawako Romantic, Hawajipendi Kihiivyo, Wako Rafu Mno.
.
3. Ukimpata Tajiri, Mara Nyingi Hawezi Kukuheshimu Full Madharau, Utamwambia Nini Wakati Hela Anayo Bhana.
.
4. Ukimpata Mfanyakazi Hodari Na Mtafutaji, Hana Muda Wa Kuwa Na Wewe, Muda Wote Anawaza Kazi Na Kutafuta Maisha.
.
5. Ukimpata Mnyenyekevu, Mfukoni Huwa 0%.
.
6. Ukimpata Anayekupenda Kwa Dhati, Anakuwa Siyo Type Yako, Hana Pozi Zile Unazitaka Wewe.
.
7. Ukimpata Msomi, Hasikilizi Ushauri Wako, Anakuona Boya tu.
.
8. Ukimpata Yule Smart, Ni Muongo To The Maximum Na Player.
.
So listen to your heart... na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect, hata wewe hauko perfect.
.
Kwa nini kulilia watu perfect wakati wewe mwenyewe hauko perfect?? Cc Wick ukuje ujisomeView attachment 866765
Kama ni mchanganyiko wa hizo namba mama!?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom