Duh!.. ina maana....!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mm pole kwa yaliyokukuta ulikosea tu labda kama mlionana mapenzi ya humu kubebishana yaani msijuane au kuonana ndio inakuwa utamu
Duh!.. ina maana....!!?
Kuna kitu umeandika hapa kina point yako msingi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mm pole kwa yaliyokukuta ulikosea tu labda kama mlionana mapenzi ya humu kubebishana yaani msijuane au kuonana ndio inakuwa utamu
Sawasawa mzeeItapendeza sana sisi wengine wazee
[emoji3] [emoji3] barikiwaSawasawa mzee
[emoji120] [emoji120] Ameeeni[emoji3] [emoji3] barikiwa
Sasa, kuna wengine wale wa xx ndio siwaelewagi kabisa bora asiandike mesejiYaani upo kama mm yaan huwa hata kusoma siwezi halafu mtu akiandika kiufupi namuona mtoto wangu kabisa
Sasa, kuna wengine wale wa xx ndio siwaelewagi kabisa bora asiandike meseji
Aiseee[emoji87]
Aiseee
Hiv mama mchungaji kapotealea wapiYaan acha tu wanakera sana jamani mm mtu akiniandikia hivyo namwambia mm sio mtoto mwenzio kama huwezi kuandika vizuri usitume text