Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Sijambo The book za ww
Hujambo shunie
Hujambo shunie
Salama kabisa habari ya jumamosiSijambo The book za ww
Mo DewjiHaya sasa ww shindana na waliorithi na hela zako za kubetView attachment 860634
Salama kabisa habari ya jumamosi
Mo Dewji
Hongera sana bwana mikwaraKuna mtu anapajua sehemu wanapouza soda kwa bei ya 100,000/= kwa chupa ? nataka niwapeleke watoto wakapoze koo hii week end baada ya kufunga shule maana wanasumbua hapa Binju kwenye hekalu langu kutwa kuichezea helikopta
Unamaanisha vumbi la kongo?Kuna MTU kaniletea hapa mzigo wa Congo Dust km kilo kadhaa hv ,vipi kn mdau nimtumie kwa bus acheze nao huko

Anataka nimtafutie wateja,nimemtupa mie biashara za abunuasi siweziUnamaanisha vumbi la kongo?![]()
![]()
Nilitaka niulize namimi nikajisemea nisije nikaonekana mfukunyuku sanaKumbe Alpha we ndio The Book si ulikuwa una I'd yako ya zamani


Hiyo shikamoo na babe wangu vipiiiiiiShikamoo shemela
Basi nimekusaidia kukuuliziaNilitaka niulize namimi nikajisemea nisije nikaonekana mfukunyuku sana![]()
Kuna mtu anapajua sehemu wanapouza soda kwa bei ya 100,000/= kwa chupa ? nataka niwapeleke watoto wakapoze koo hii week end baada ya kufunga shule maana wanasumbua hapa Binju kwenye hekalu langu kutwa kuichezea helikopta