Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,010
UsikuKojooo leo saa ngapi
UsikuKojooo leo saa ngapi
kwani uongo mara ngapi unakatazwa sema shikamoo wewe!..Yaani we mwanaume
Kuna atakayekuweza nikikugawa kweli!?.. Unajijua vile priceless you are!..Kwahiyo babe unanigawa
Hahaha ndo mana alikuwa dikteta
kwani uongo mara ngapi unakatazwa sema shikamoo wewe!..
Kuna atakayekuweza nikikugawa kweli!?.. Unajijua vile priceless you are!..
Kojoo baada ya kojooUsiku
Uganda oyeeeeeUganda vs Tanzagiza-both teams will score
Hakuna atakayeniweza zaidi yako yaani ukinigawa kwa mtu siku hiyo hiyo uliyonigawa anakurudishia
😀
Nasubiri anayetaka kunipindua nimjue!... Hujuagi sema uongo Bee!!..Hahhahah au babe nimeongea uongo
Hakuna babe wa kukupindua hakuna na hatatokeaNasubiri anayetaka kunipindua nimjue!... Hujuagi sema uongo Bee!!..
Ngoja waje wanaume wasiojiamini na nguvu zaoKuna MTU kaniletea hapa mzigo wa Congo Dust km kilo kadhaa hv ,vipi kn mdau nimtumie kwa bus acheze nao huko
😀 Nimesikia mnakamsemo "Nakupenda kama yote" sasa hiyo yote sijui nini!?..Hakuna babe wa kukupindua hakuna na hatatokea