ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
AsanteeBasi nimekusaidia kukuulizia
AsanteeBasi nimekusaidia kukuulizia
Huyo uliyem quote unatafuta ugomvi na MTU, mm simo ktk huo ugomvi asee
We pambana na ugimbi mkuuAnataka nimtafutie wateja,nimemtupa mie biashara za abunuasi siwezi
Heshima kwa shemelaHiyo shikamoo na babe wangu vipiiiiii

Binamu hi....binafsi hapa MF ni nyumbani ukishapazoea basi uhangaiki kujua uanzie wapi
....hili hekalu lako ndo kama lile la kwenye sinema za Yesu!? Wanajaa wauzaji na wanunuzi

Binamu hi![]()
![]()
Wkend vp
Unamuogopa?Huyo uliyem quote unatafuta ugomvi na MTU, mm simo ktk huo ugomvi asee
Mfyuuu ni msukuma ndio lakini haishi mwanza shenzy zakoHeshima kwa shemela
Yy si wa mkoani maana nmesikia ni msukuma![]()
![]()
![]()
Binamu shikamooHi Mama JJ, wikend iko poa just jogging asubuhi na baadaye tv kwa sana na k kuangalia pics zangu za sekondari. Vipi wewe
Hi Mama JJ, wikend iko poa just jogging asubuhi na baadaye tv kwa sana na k kuangalia pics zangu za sekondari. Vipi wewe
ni nzuri mno binamu,ngoja na mm niangalie pics za sekondariWkend hapendi kuamkiwa mpe tu hiBinamu shikamoo
Mm ndio nimemwamkia sasaWkend hapendi kuamkiwa mpe tu hi
Shunie niamkie na mimiMm ndio nimemwamkia sasa
Shikamoo mkuu wangu bunyebunyeShunie niamkie na mimi
Bunyebunye na ww msukuma