bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
Marhaba bi shunie, u hali gani weye?Shikamoo mkuu wangu bunyebunye
Marhaba bi shunie, u hali gani weye?Shikamoo mkuu wangu bunyebunye
HapanaUnamuogopa?
Uniletee na mie![]()
![]()
![]()
![]()



twende wote mana yule hapendi niende peke yangu anaogopa kunikula
Niko poa mm hofu kwako tu nimefurahi sana kukuonaMarhaba bi shunie, u hali gani weye?
Nenda tu hakukuuli yy anajpigia ugimbitwende wote mana yule hapendi niende peke yangu anaogopa kunikula

Ndiyo mkuu! Umejuaje![]()
![]()



Ulivyofurahi kuhusu msukuma vipi unafuga mang'ombeUniletee na mie![]()
![]()
![]()
![]()
nipoo lazima nikale
...maswali yamejibiwa ,sina cha kuongezatwende wote mana yule hapendi niende peke yangu anaogopa kunikula
Mmmm laabda mana kila nikisema niende anasema uje na mrNenda tu hakukuuli yy anajpigia ugimbi![]()
![]()
![]()
...maswali yamejibiwa ,sina cha kuongeza


nakuja mwenyewe leo mr hayupoUwasheee motoHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
makapuku haizimi
View attachment 860723

Sijambo kabisa! Mimi pia nimefurahi sana, unajua nikiwa huku Mwanza kwetu lazima nikukumbuke (in sukuma voice)Niko poa mm hofu kwako tu nimefurahi sana kukuona

Ninayo mang'ombe mengi tu mkuu wangu. Na mambuzi na makondoo piaUlivyofurahi kuhusu msukuma vipi unafuga mang'ombe
Njoo tu ila mwambie ulipo ili akupitie wkt wa kurudi nyumbani ,mrudi wotenakuja mwenyewe leo mr hayupo
Jamani bunyebunye asante sana kwa kunikumbuka nafurahi sana usisahau kunitumia samaki jamaniSijambo kabisa! Mimi pia nimefurahi sana, unajua nikiwa huku Mwanza kwetu lazima nikukumbuke (in sukuma voice)![]()
Halafu nasikia mnapenda wanawake weupe eenhNinayo mang'ombe mengi tu mkuu wangu. Na mambuzi na makondoo pia