Me nilishakwambia waongeaji napatana nao zaidi. Haka nako kaongeaji balaa, usijaribu kalewe kanakua na aibu balaa.Teh teh basi atanisalimia sana !
Unajua wewe na Malcom Lumumba nimewakatia bima hata mkila sitaumia mnaficha. Sio vile vitoto mtaa mzima ujue kamekula cha mtu.Ah! Dada Shunie bhana, kwani kuna anayetaka kugombanisha ukaka wetu! Huyo awaye mwana fitina mwambie we ni dadangu tu na ubinamu wa hamu ni wikiendi pekee... mwambie Wick asiwe na presha!
Karibu the kitabuI'm back again
Asante mrs infoMuwe na asubuhi njema na siku njema ya jumamosi nawapenda mm [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Sikuona kumbe uliniamsha[emoji8][emoji8]
Nafurahia uwepo wako na mrembo wako shunie mambo swadaktaMkuu mimi nipo salama kabisaa
Ah! Dada Shunie bhana, kwani kuna anayetaka kugombanisha ukaka wetu! Huyo awaye mwana fitina mwambie we ni dadangu tu na ubinamu wa hamu ni wikiendi pekee... mwambie Wick asiwe na presha!
[emoji23][emoji23] anapenda kusalimia huyu usihofu.
Alfa yupi @Alphapii
Ilikua zamani utotoni huko.
Saa hivi kabisa nikaokote club bee!??.. wakati naweza gonga hodi karibu ofisi zote ushirika tawa! 😀..
Teh teh basi atanisalimia sana !
Me nilishakwambia waongeaji napatana nao zaidi. Haka nako kaongeaji balaa, usijaribu kalewe kanakua na aibu balaa.
Unajua wewe na Malcom Lumumba nimewakatia bima hata mkila sitaumia mnaficha. Sio vile vitoto mtaa mzima ujue kamekula cha mtu.
Kuna mtu anapajua sehemu wanapouza soda kwa bei ya 100,000/= kwa chupa ? nataka niwapeleke watoto wakapoze koo hii week end baada ya kufunga shule maana wanasumbua hapa Binju kwenye hekalu langu kutwa kuichezea helikopta
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na hekaluu lakooo hilo kila sikuKuna mtu anapajua sehemu wanapouza soda kwa bei ya 100,000/= kwa chupa ? nataka niwapeleke watoto wakapoze koo hii week end baada ya kufunga shule maana wanasumbua hapa Binju kwenye hekalu langu kutwa kuichezea helikopta
Kojooo leo saa ngapiWe mzee una mikwara