Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani shangazi hujambo [emoji3]

..vyenye aunt yangu Shunie akisema usiniite shangazi, kwani umeniona nimevaa vitenge na kilemba kama mlina asali, mimi wamo bhana si unancheki, niite auntie

UW1mhx.gif
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujakosea binamu nilikuwa na usiku mwanana
...nilijua tu maana kabla ya jamaa kuja ulikuwa na hasira kama mwanachadema aliyehamia ccm. Ila siku mbili hizi umejaa tabasamu kama dalali wa makontena ya mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom