makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,477
Makiss tu shunie akee!!Una nini jamani
Makiss tu shunie akee!!Una nini jamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndo uacheMfyuuuuuuuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji91][emoji91]Auntie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji33][emoji33][emoji33]Tunakojoleana hapa jukwaani makapuku
Sijui yeye jamani afu ye hataki kuitwa shangaziNa kwanini awakomaze wana wa wenzie wajameni!!
Kwani kila wa mkoani kakongoroka, abj mtoto mbichi usimzeeshe shumie akeeShikamoo wanaamkiwa wa mkoani
Ni vizuri kupunguza punguza mikojo, ikiwa mingi mtu unakuwa kama chizi vile..[emoji23] [emoji23]Tunakojoleana hapa jukwaani makapuku
Kwanini!?Sijui yeye jamani afu ye hataki kuitwa shangazi
[emoji3]eti namzeeshaKwanini!?
Shikamoo wanaamkiwa wa mkoani
...kweli bhana, eti utashangaa tu mtu hata ijumaa shikamoo anko, huwa nakaa kimya kama sisikii vile
Ni vizuri kupunguza punguza mikojo, ikiwa mingi mtu unakuwa kama chizi vile..[emoji23] [emoji23]
Ana ubichi gani shikamoo inawafaaKwani kila wa mkoani kakongoroka, abj mtoto mbichi usimzeeshe shumie akee
Naogopa tusifike huko shunie akee[emoji23] [emoji23]
WoizeeeeeueeerrrMakiss tu shunie akee!!
[emoji7][emoji122][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kwani kila wa mkoani kakongoroka, abj mtoto mbichi usimzeeshe shumie akee
Kaaaah niwewe ankoo wanisema kweli akati niliomba samahani mwee basi kuanzia leo nakusalimia mambo mfyuuu...kweli bhana, eti utashangaa tu mtu hata ijumaa shikamoo anko, huwa nakaa kimya kama sisikii vile
Ama kweli nyani haoni kundule..[emoji3]eti namzeesha
Mtukomee we shangazi pamoja na mjomba tafwaadhaliWa mkoani binamu ndio zinawafaa
Watu wanawehuka kabisa, wacha mchezo kabisa na kojo.Umeona eenh unaanza cheka cheka hovyo
Shangazi we haya tuAna ubichi gani shikamoo inawafaa