Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Marhabaaaaaa hujambo mdogo wnguMfyuuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Marhabaaaaaa hujambo mdogo wnguMfyuuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Miss u too luv[emoji8] [emoji8] [emoji8]Mai sista,miss uu
Shikamoo mkuu mbona haumkaribishi mgeni hujamuona auMarhabaaaaaa hujambo mdogo wngu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmemfahamu binamu aisee[emoji23][emoji23][emoji23] Ninge binamu yetu anakuwaga wa mwisho kujua kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile,,, kila mziki wako shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mm sio mlevi usiombe sasa tuwe club nimelewa nachezaje jamani shunie mm
[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye kila kitu wa mwisho kujua mnaweza mkawa mnaongea kitu wenyewe mpo busy anakuja tu kati kati anauliza kwani mnazungumzia nn mbona mm humu kila kitu wa mwisho kujua[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmemfahamu binamu aisee
Acha kabisa halafu sasa ajipendekeze mwanaume kutaka kunibambia yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu atakalokutana nalo atajuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile,,, kila mziki wako shunie
Ninge acha nikuage uwe na usiku mwema ulindwe na damu ya Yesu [emoji120][emoji10] kama we ni muislam nisamehe tu kwa kulindwa na damu ya Yesu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile,,, kila mziki wako shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa shunie[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye kila kitu wa mwisho kujua mnaweza mkawa mnaongea kitu wenyewe mpo busy anakuja tu kati kati anauliza kwani mnazungumzia nn mbona mm humu kila kitu wa mwisho kujua
Sawa shunie,,, usijari aisee,,, Yesu kwetu ni IssaNinge acha nikuage uwe na usiku mwema ulindwe na damu ya Yesu [emoji120][emoji10] kama we ni muislam nisamehe tu kwa kulindwa na damu ya Yesu
Net inasumbua sana jamani yaan sina raha acha nilog out tu
Nimefurahi sana leo tumejumuika pamoja karibu tena na tena ujisikie upo nyumbani ujisikie kama upo jukwaa la likes nakupenda tu shunie mm
Shikamooo binamu
Jamani mm tigo inasumbua sana internet yaan mpaka natamani kutupa simu mda si mrefu nawaaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akitupa hyo simu uniambie....utaitupia wapi nije niiokote maana kuna mtu nimemuahidi simu, sitaki kuingia gharama za simu mpya. Ukiitupa usisahau kutupa na chaja kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akitupa hyo simu uniambie
Ndio binamu[emoji23]...kumbe na wewe unaitaka hii hihihiiii, nikishaiokota nitakutag
![]()