Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Nakununulia nyingi....lakini uje mwenyewe!Wouzeeeer wouzeeeeeerrrr ninavyopenda korosho slim usinidanganye kinondoni kwako na ninapoishi sio mbali nitamtuma hata mtu wa boda tena ninunulie nyingi
Nakununulia nyingi....lakini uje mwenyewe!Wouzeeeer wouzeeeeeerrrr ninavyopenda korosho slim usinidanganye kinondoni kwako na ninapoishi sio mbali nitamtuma hata mtu wa boda tena ninunulie nyingi
YAANI MIMI HAPO TU...... YAANI SIJUI HII TABU ITAISHA LINI!Wouzeeeer wouzeeeeeerrrr ninavyopenda korosho slim usinidanganye kinondoni kwako na ninapoishi sio mbali nitamtuma hata mtu wa boda tena ninunulie nyingi
Nakununulia nyingi....lakini uje mwenyewe!
Shikamoo dada
ndio wangu... kuepusha matapeliKhaaaa nije mwenyewe tena
YAANI MIMI HAPO TU...... YAANI SIJUI HII TABU ITAISHA LINI!
ndio wangu... kuepusha matapeli
Nita..... mpaka sasa napata sana zaidi ya tabu! Uwe na huruma kwa mtoto wa mwanamke mwenzio!Haiwezi kuisha nasema utapata tabu sana
Na mimi pia naleta mwenyewe, nisije nikamtuma messenger afu akatake advantage!Khaaaa nije mwenyewe tena
Na mimi pia naleta mwenyewe, nisije nikamtuma messenger afu akatake advantage!
Mama tafwaadhali usizeeshane humu ndaniShikamoo dada
mimi na mambo ya ubishi ubishi wapi na wapi? tena kumbishia mtoto wa kike! Never!Slim hivi umeanza lini ubishi lakini
Mkuu wewe zeeka tu upewe vya wakubwa! Si umemuona mwenzio bwana yule.....anakula diii siii- mtoto mbichiiiiii!Mama tafwaadhali usizeeshane humu ndani
Mama tafwaadhali usizeeshane humu ndani
mimi na mambo ya ubishi ubishi wapi na wapi? tena kumbishia mtoto wa kike! Never!
Jamani nyie wa mkoani shikamoo inawahusu mjue hivi kwa nn mnakataa


mxieew....kwamba sisi ndo tumekomaa sana au