Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE:

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi. Asante kwa Jumapili ya leo Tarehe 5 Agosti 2018 ..Tunakuja mbele zako kwa kuimba kwa shangwe na kukushukuru.Asante Baba kwa Huruma yako na neema hii ya uzima.

Tunaomba Toba kwa makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno na matendo kwa kujua au kutojua .

Tunawasamehe wote ambao wametukosea kwa kujua au kutojua ..walioomba msamaha na ambao hawajaomba Utuhurumie Ee Baba.

Jumapili ya leo tunakuja Mbele zako kwa shukurani..tunaomba endelea kutupigania.Wabariki watumishi wa Mungu wakuhubiri wewe Kristo..ukaonekane katika ibada zote Mfalme wa Amani.
Onekana kwa yatima,wajane,wagane na wote wanaopitia changamoto mbalimbali.

Tunawakabidhi mikononi mwako watoto wetu wa kike na kiume na wajukuu wetu ukawashindie katika mapito yao..Imarisha afya zao za miili na Roho wape kukutegemea wewe tu..wape kazi,wape ushindi kwenye mitihani yao yote ya maisha ya shule,wape ushindi kwenye interview zao,wape kazi sahihi wape wenza sahihi wape uvumilivu katika maisha haya yenye changamoto nyingi wape kuachilia yote yasiyoleta utukufu.

Tunaomba bariki kazi za mikono yetu.
Onekana kwenye mahusiano yetu na yakawe imara kupitia wewe tuchukuliane mizigo kwa upendo na tudumishe amani.
Asante Baba kwa ajili ya ndugu zetu,jamaa zetu,marafiki zetu imarisha mshikamano wetu wewe ambaye umetukutanisha maishani mwetu tusaidie ee Baba.

Siku ya leo iwe ya amani na furaha.Roho Mtakatifu Mfariji wetu kaa nasi.
Tunaomba yote na kuamini katika jina la Yesu Kristo Amen.

JUMAPILI NA IBADA NJEMA NA AMANI KWETU WOTE DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Amka na magazeti
Screenshot_20180805-080935.jpg
Screenshot_20180805-080951.jpg
Screenshot_20180805-080856.jpg
Screenshot_20180805-080914.jpg
Screenshot_20180805-080815.jpg
Screenshot_20180805-080833.jpg
Screenshot_20180805-080735.jpg
Screenshot_20180805-080755.jpg
Screenshot_20180805-080659.jpg
Screenshot_20180805-080717.jpg
 
TUOMBE:

Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi. Asante kwa Jumapili ya leo Tarehe 5 Agosti 2018 ..Tunakuja mbele zako kwa kuimba kwa shangwe na kukushukuru.Asante Baba kwa Huruma yako na neema hii ya uzima.

Tunaomba Toba kwa makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno na matendo kwa kujua au kutojua .

Tunawasamehe wote ambao wametukosea kwa kujua au kutojua ..walioomba msamaha na ambao hawajaomba Utuhurumie Ee Baba.

Jumapili ya leo tunakuja Mbele zako kwa shukurani..tunaomba endelea kutupigania.Wabariki watumishi wa Mungu wakuhubiri wewe Kristo..ukaonekane katika ibada zote Mfalme wa Amani.
Onekana kwa yatima,wajane,wagane na wote wanaopitia changamoto mbalimbali.

Tunawakabidhi mikononi mwako watoto wetu wa kike na kiume na wajukuu wetu ukawashindie katika mapito yao..Imarisha afya zao za miili na Roho wape kukutegemea wewe tu..wape kazi,wape ushindi kwenye mitihani yao yote ya maisha ya shule,wape ushindi kwenye interview zao,wape kazi sahihi wape wenza sahihi wape uvumilivu katika maisha haya yenye changamoto nyingi wape kuachilia yote yasiyoleta utukufu.

Tunaomba bariki kazi za mikono yetu.
Onekana kwenye mahusiano yetu na yakawe imara kupitia wewe tuchukuliane mizigo kwa upendo na tudumishe amani.
Asante Baba kwa ajili ya ndugu zetu,jamaa zetu,marafiki zetu imarisha mshikamano wetu wewe ambaye umetukutanisha maishani mwetu tusaidie ee Baba.

Siku ya leo iwe ya amani na furaha.Roho Mtakatifu Mfariji wetu kaa nasi.
Tunaomba yote na kuamini katika jina la Yesu Kristo Amen.

JUMAPILI NA IBADA NJEMA NA AMANI KWETU WOTE DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom