Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Hodiii
...karibu, una mizigo au umekuja kama wageni wa mjini, mikono mitupu
Hodiii
Njema et habari za uzima Dada?Salama habari yako
Njema et habari za uzima Dada?
Kumekucha Dada!Salama kaka
Na makucha yakeKumekucha Dada!
Atakuwa kabeba usb na earphone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...karibu, una mizigo au umekuja kama wageni wa mjini, mikono mitupu
Sahiv ni ya juice siyo maziwa tena[emoji38][emoji38]Binamu shikamoo nafurahi na mm kukuona naombeni hela ya juice
Ohoo! nimebeba debe la mahindi sijui mnakulaga kande...karibu, una mizigo au umekuja kama wageni wa mjini, mikono mitupu
Ohoo! nimebeba debe la mahindi sijui mnakulaga kande
Sahiv ni ya juice siyo maziwa tena[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiii...sana tu, ila sio usiku maana tunapnda kulala kwa amani, sio tule kande usiku halafu tukilala tuwe kama tuko Syria kwa mabomu.
Karibu sana
[emoji3][emoji3]Atakuwa kabeba usb na earphone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134][emoji134]maweee huyo siyo mgonjwa..mgonjwa njaa anabadilishabadilisha tu kinywaji, bahati yetu, ingekuwa Ijumaa angesema heineken barrrrrrrdi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]loh...sana tu, ila sio usiku maana tunapnda kulala kwa amani, sio tule kande usiku halafu tukilala tuwe kama tuko Syria kwa mabomu.
Karibu sana
Hapa nilipo ni 04:37 ,huko SAA ngapi?Najua MF ni kama ufalme wa Mwingereza, ukute mahali pengine ni saa kumi kasoro adhuhuri na kwetu hapa ndo tumelala fofofo.
Nikutakie usiku mwema, kuche ukiwa na afya na tabasamu la kuianza siku