Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
SalaamaSalama kaka
Sana
Leo nilivyolala niliota uko na mimi tumekaa
Nilivyoamka nilichukia sana maana zaidi niliskia sauti za mapaka huko nje
SalaamaSalama kaka
MorningMorning Guys
Habari Ya UzimaMorning
Salamaaaa tuuuHabari Ya Uzima
Morning iyeguMorning Guys
Sahiv ni ya juice siyo maziwa tena[emoji38][emoji38]
Jamani msimsimange mgonjwa mnataka akufwe mgonjwa anahitaji faraja anacholilia apewe tu..mgonjwa njaa anabadilishabadilisha tu kinywaji, bahati yetu, ingekuwa Ijumaa angesema heineken barrrrrrrdi
[emoji134][emoji134]maweee huyo siyo mgonjwa
Tunamshukuru Mola wetu mlezi ambae Ametuhuisha ( Tuamsha) baada ya kutufisha (Tulaza) na kwake Tutarejea
Salaama
Sana
Leo nilivyolala niliota uko na mimi tumekaa
Nilivyoamka nilichukia sana maana zaidi niliskia sauti za mapaka huko nje
Morning Guys
MorningMorning iyegu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hayaa utapewa mgonjwa subiri tufanye mamboJamani msimsimange mgonjwa mnataka akufwe mgonjwa anahitaji faraja anacholilia apewe tu
Tel Me Madame ShunieMorning iyegu
Morning
Mpaka shunie aseme ndo unanionaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hayaa utapewa mgonjwa subiri tufanye mambo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hayaa utapewa mgonjwa subiri tufanye mambo
Inakuwaje na ban wakat unaona nadundaaHope umeamka salama naona avatar yako ina ban