Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kumbe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Safi broh Mungu anasaidia.. sijui wewe na familia..Wazima mkuu, habari yako bro
Salama kabisa mkuu Trans.. Sakayo mzima?Upo ndugu yangu.?
Mfyuuuu
Binamu jamani tulikumissNimerudi tena wadau baada ya ratiba kubadilika kiaina na sasa wiki hii imetengemaa angalau naweza kukaa chini na kuchangia sehemu hii ninayoipenda kupita maelezo.
Sitaki kuuliza kama kuna jipya ila kutoka kwangu, niliwakumbuka sana wadau mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo
Binamu jamani tulikumiss
Muziki: Kama Mwanzo
....itoshe tu kusema nililikukumbuka wewe Kapuku unayelifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Uwepo wako hapa unaweza usiwe unaniingizia pesa mkononi (wengine huwa wanaweka pesa mfukoni, tunatofautiana, wengine wanaweka kwenye matiti, nimesema tunatofautiana na hakuna ubaya ili kuna wale wanaziweka wanapojua wao na ndo maana huwa silambi vidole nihesabu hela, nainusa kwanza hela nijue kama ilihifadhiwa sehemu nisiyoweza kupata kipindupindu). Maarifa ninayoyapata kila ninaposoma chochote unachoandika basi ni fahari sana kwangu.
Muziki sasa, ilipopigwa pini JF nilikosa jinsi, nilijua wapo waliohamia Kenya, kuhama ni mchakato na wazee kama mimi kuhama inachukua muda, kuhamisha hamu kuzipeleka sehemu nyingine ni mchakato. Sitoandika nikuchoshe, itose tu kusema kama mwanzo kipengele hiki kimerudi. Asante na uwe na wiki njema
Niko poa binamu yangu hofu kwako tu...niliwamiss pia aunt yangu, mambo yalipandana hapa kuyaachanisha ikahitaji muda kidogo, ila nipo kama kawaida. Uko poa lakini
Nilimiss mambo haya binamu jamani




kumbe binamu ulikuwa unatusoma ugenini
...ha hahaha, nimerejea sasa, nilikuwa nawasoma kimyakimya tu kule ugenini na kama kawaida ninafurahi kukuona hapa.
Shikamoo binamuNimerudi tena wadau baada ya ratiba kubadilika kiaina na sasa wiki hii imetengemaa angalau naweza kukaa chini na kuchangia sehemu hii ninayoipenda kupita maelezo.
Sitaki kuuliza kama kuna jipya ila kutoka kwangu, niliwakumbuka sana wadau mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo
Mamaa hivi wingi wa moto nini ??Woooooooozeeeeeerrrr.![]()