Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Asante sana, tu wazima, nasi twakupenda pianaimani mu wazima wote humu ndani!nawapenda
Upo ndugu yangu.?Habari za masiku meeeengi wakuu. I hope nyote ni wazima...
Money upo?
Niko poa, niaje rafikiPouwah za wewe moud
Salaam mkuuMoney upo?
Sikwendi mie ndo nsharudiKwendraaaa halafu nimeshamaliza ile kitu mwambie mtu gani mwendelezo vipi
Manyokoshikamoo dada
Niko poa, niaje rafiki
ShikamooUpo ndugu yangu.?
Sikwendi mie ndo nsharudi
Nitarudi badaye rafiki
Ipi mke mweeeHalafu ile story naendelea entertainment mbona sikuoni
Sijambo mm za wwMarahaba mchumba wa Shululu..
Hujambo..
Ipi mke mweee
Nilitingwa kdgo ndo maana nilikuwa nagawa likes tuu
Wa afya kabisaaSijambo mm za ww