Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mm pia mzima sana monday
Vinci mzima wa afya shunie sijui ww
Vinci mzima wa afya shunie sijui ww
Ni faraja moyoni mwangu kusikia u mzimaMm pia mzima sana monday
Heshima yako mkuu shimba
Labda App yako shunii tumia browserHaya umefanyaje tena sipati notification zako
Hapana jamani sio mm ni hukohuko kwako kuna kipindi ilikuwa hivihivi badae nikaaza kupata notification zako halafu nyie mnaotumia browser baadhi mpo hivi sipati notification zenuLabda App yako shunii tumia browser
Notification ya likes or Quote?Hapana jamani sio mm ni hukohuko kwako kuna kipindi ilikuwa hivihivi badae nikaaza kupata notification zako halafu nyie mnaotumia browser baadhi mpo hivi sipati notification zenu
Notification zote sipatiNotification ya likes or Quote?
Kama ni zote kwa pamoja basi itakua technical problem...
Ila app yenu inazingua mno..
Safi, mambo vipi ShunieMoud habari
Safi, mambo vipi Shunie
ShikamooNaona umeibuka leo ulikuwa unagawa likes tu
Wazima mkuu, habari yako broHabari za masiku meeeengi wakuu. I hope nyote ni wazima...
Kwendraaaa halafu nimeshamaliza ile kitu mwambie mtu gani mwendelezo vipiShikamoo
Utamuonea tu Tumosa. Hata kwenye likes hakuwepo. Kwema shemeji?

Huchna mamboNzuri shemu wane