Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Kuuuumbe ulikuwa unawaenjoy wenzio...ha hahaha, nimerejea sasa, nilikuwa nawasoma kimyakimya tu kule ugenini na kama kawaida ninafurahi kukuona hapa.
Kuuuumbe ulikuwa unawaenjoy wenzio...ha hahaha, nimerejea sasa, nilikuwa nawasoma kimyakimya tu kule ugenini na kama kawaida ninafurahi kukuona hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wooooozeeeerrrrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kumbe binamu ulikuwa unatusoma ugenini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najuta mm jamani
Mamaa hivi wingi wa moto nini ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu huyuHahahha si nilikwambia hisia zangu naziamini
Wooooozeeeerrrrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kumbe binamu ulikuwa unatusoma ugenini
Niwache na ushamba wa sttsEbu uko ya stts yanakushinda mfyuu
Mic uu dadaake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ankoo heshima yakoo jamanTafasiri Unavyoweza: Cheo Cha Uwezo, Madaraka ya Kujipendekeza
....kwanza nitangaze maslahi kabla sijaandika hiki ninachotaka kuandika. Maslahi yenyewe ni kuwa ninamiliki kadi ya kupigia kura ni raia mkamilifu, ninayelipa kodi na hivyo ninategemea kodi yangu isiishie kulipa mishahara wengi wasiowajibika. Ninataka kuona kodi yangu ikiboresha huduma za kijamii nchini, ninataka kodi yangu niione ikijenga barabara. Na zaidi ninapenda kuona kodi yangu ikimfanya rais awajibike kwa wote sababu ikiwa ni kuwa yeye halipi kodi. Tafasiri Unavyoweza.
Kuna tofauti ya cheo na madaraka, hilo lazima ulifahamu na kabla hujafanya juhudi za kuniuliza tofauti nitajitahidi kukuelekeza maktaba zilizo karibu yako ukafanye utafiti kulijengea uwezo swali lako. Majuzi tumeona mabadiliko kidogo serikalini na pia tumeona dege kubwa likitua nchini. Mabadiliko chanya ni jambo zuri na uwepo wa usafiri timamu wa anga nalo ni jambo zuri. Shida inakuja pale mteuaji anapoteua mtu kwa sababu tu ya kutoa maneno yanayomfurahisha bwana mkubwa.
Uongozi ulio timamu wa dola una sifa moja kubwa, unaundwa na wanaokukubali na wanaokupinga wana nafasi ya kuwemo. Ukiwa na watu wanaosema ndiyo mzee usitegemee mabadiliko yenyemaana sana maana hawana jipya, badala ya kukushauri wewe ndo unawashauri na kazi yao inabaki ni kunyanyua kichwa toka chini kwenda juu. Kuna tofauti ya uwezo na madaraka ya kujipendekeza. Tafasiri unavyoweza
...yeah, nilikuwa nawasoma sema nilikuwa nashindwa kutembeatembea maana ugenini lazima uwe makini
Kwendraaa ushamba tuNiwache na ushamba wa stts
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umerud binamu...stts ndo nini?
Binamu umeanza stts za kwenye WhatsApp jamani...stts ndo nini?
Ankoo heshima yakoo jaman
Miss u more my love[emoji8] [emoji8]Mic uu dadaake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umerud binamu