Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Wala hatuwezi kupiganaaPiganeni kama vipi
Wala hatuwezi kupiganaaPiganeni kama vipi
Mfyuuuuu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hakya mama,yani ondoa shaka humo ndo mwangu kiuno kinaenda ka feni
Hahaha! Cheo changu hakina kuingizana majaribuni hahaha lol...kila mmoja atapata tu cheo, kwa sasa wale ushers watakuwa ni anko wangu Lyon Lee huyu tutamuweka upande wa kuwakaribisha mabinti wa vyuo, usher omarion5 atakuwa upande wa kuwaelekeza waumini sehemu za mapumziko.
Halafu usher hearly yeye atakuwa na jukumu la kuwafunika kanga wale wadada wanaoshukiwa na pepo wakaanguka
...nimekiona, nashukuru sana, sasa ninajiandaa kukuletea bajeti ya idara yangu, wewe si ndo unashika hela?
Jipya lipoo mimi nimechaguliwa kuwa mcheza shoo kwenye band yako
...safi sana, hii band inabidi ifanye vizuri zaidi tuteke soko na watu wote waje. Kama unajua kukatika vizuri utakaa safu ya mbele, ila kama ni mzito fulani hivi kama unatokea milimani inabidi uje nikuelekeze kwa vitendo mpendwa
...kila mmoja atapata tu cheo, kwa sasa wale ushers watakuwa ni anko wangu Lyon Lee huyu tutamuweka upande wa kuwakaribisha mabinti wa vyuo, usher omarion5 atakuwa upande wa kuwaelekeza waumini sehemu za mapumziko.
Halafu usher hearly yeye atakuwa na jukumu la kuwafunika kanga wale wadada wanaoshukiwa na pepo wakaanguka
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Aaaaaaaaahhhhhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hakya mama,yani ondoa shaka humo ndo mwangu kiuno kinaenda ka feni
Khaaaa
Hakuna kanisa kufungwaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hakya mama,yani ondoa shaka humo ndo mwangu kiuno kinaenda ka feni
Yepi tenaaa
Mfyuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...basi hapo sawa, nilianza kupatwa na mashaka maana mimi band inamtaka mtu kama Rose Muhando, mwepesi kiuno kinanyambulika kama anapoimba wimbo wa Mbella sio kigumu utasema Bahati Bukuku anaimba Dunia Haina Huruma
Habari family.
Mfyuuuuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi nani amenipa hicho cheooSasa utulie ndani ya cheo chako cha mama mchungaji
Mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuu