Makapuku Forum

Makapuku Forum

...kila mmoja atapata tu cheo, kwa sasa wale ushers watakuwa ni anko wangu Lyon Lee huyu tutamuweka upande wa kuwakaribisha mabinti wa vyuo, usher omarion5 atakuwa upande wa kuwaelekeza waumini sehemu za mapumziko.

Halafu usher hearly yeye atakuwa na jukumu la kuwafunika kanga wale wadada wanaoshukiwa na pepo wakaanguka
Hah hahaha "" mkuu hicho cheo nipatie haraqa aisee..."" Usibadilishe tafadhali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we unataka kuchungulia tu waumini wenye mapepo wakianguka huna lolote
Aiseeee""".....Wacha nipige mlunzi kwanza........................."""" ... hiko cheo kinanifaa kabisa ..msinibadilishie aisee....
Hah hahaha "" mkuu hicho cheo nipatie haraqa aisee..."" Usibadilishe tafadhali
 
We pepo ushindwe kanisani unamkatikia nani mauno


....amenishangaza sana kwa kweli, yaani anataka kukata mauno kanisani, jameni hili kanisa si litawakimbiza wapenda monde Transcend wakae viti vya mbele

giphy.gif
...hapo sasa
 
...basi hapo sawa, nilianza kupatwa na mashaka maana mimi band inamtaka mtu kama Rose Muhando, mwepesi kiuno kinanyambulika kama anapoimba wimbo wa Mbella sio kigumu utasema Bahati Bukuku anaimba Dunia Haina Huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom