Aisee...Binamu nafasi yake tumeshaitaja juu uko


Nabii nasikia ni makaveli..Tunafungua kabisa humu baba mchungaji mbalizi1 wewe mama mchungaji


Muone kwanzaAiseeee![]()
Hahahaa! Ngoja hii vita upambane na mdogo wa Dar.Ewaaaaa
Sadaka jamaniii


Aisee...
Nasikia wewe ndio katibu wa sadaka.![]()
Sadaka mm ndio nakusanyaEwaaaaa
Sadaka jamaniii
HayaHahahaa! Ngoja hii vita upambane na mdogo wa Dar.![]()
KhaaaaSadaka mm ndio nakusanya
Khaaaa
Heshima yako mama mchungaji,Ewaaaaa
Sadaka jamaniii
kaah mara hii unadai sadaka wakati hata nyimbo hatujaimba jamani




































Heshima yako mama mchungaji,kaah mara hii unadai sadaka wakati hata nyimbo hatujaimba jamani