makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,595
Marhaba kijanaSasa unafikiri we ukiwa kibabu ndio kila mtu awe kibabu humu![]()
![]()
Shikamoo mzee
Marhaba kijanaSasa unafikiri we ukiwa kibabu ndio kila mtu awe kibabu humu![]()
![]()
Shikamoo mzee
Aahh!! Kumbe haya bisha tu, ubishi si jadi yako bwanaNabisha wewe sio kibabu

Sifa na utukufu kwa Mungu MkuuHabari njema kabisa eden
Napendaga tu msemo wake jamaniKutanua tanua mdomo![]()
![]()
Sifa na utukufu kwa Mungu Mkuu
Unataka uchukuliwe kibabe kama mtoto wa chif kule kwenye videoBinamu Obe naomba nyimbo ya kiba mie mvumo wa radi
AbeeeeeeeeeeAcha ushushu tuwaite wadau waje
shululu
Shunie
Sakayo
EMMYGUY
Youngblood
Tumosa
BlessedHope
eden kimario
sumbai
@Quigley
Yaan mwenyewe hata sijui jamani yuko apiiiiHivi Shunie, Lee yuko wapi maana simuoni huku wala jukwaa letu la chelsea kule wala jukwaa la siasa kule
HahahahaUnataka uchukuliwe kibabe kama mtoto wa chif kule kwenye video
Mumeo halafu hujui yuko wapiYaan mwenyewe hata sijui jamani yuko apiiii
Tumebaki mazoea tu niko na mume mwingine jamani sijui katekwa kwenye maandamanoMumeo halafu hujui yuko wapi
Kataa mkuu hcho ni kibibi gagulaYaani mtu uko chini ya 30 halafu upewe shikamoo uitike

Mimi naupenda!!
basi ujue bado hujafika ule umri wa kupewa shikamoo hata kwa walio kuzidi umri
Ndio unavyodanganywa huko endelea kudanganywa tuMy swi havuti kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
Nko poa za wwTumosa habari ya wewe