Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Mfyuuuuu endelea kudanganywaWeee koma baba wawili havuti aliacha
Mfyuuuuu endelea kudanganywaWeee koma baba wawili havuti aliacha
Sawa maka akee Mungu akufanyie wepesiWacha nipambane na hali yangu ndugu yangu, mengine hayatamkwi kwenye kadamnasi shunie akee..
Khaaaaaaa mdomo wangu umebaki wazi kama wa ushimenChamtu huliwa na mtu
Mke wa mtu kwani shamma ni kenge!?
Punguza bhana, mwishowe utanidai mabilioni ya hela bure, mpaka sasa imefika laki 3, 24 elfu mia 5 na 70Mfyuuuuuu zako![]()
Ujue huku hatupendi kujitambulisha sisi wana siasa ila hakuna babu hapa unaongea na kijana wa kichaga kwa kichaga tunaita chaga boyHalafu usikute ni mababu
Mbebez wako kaja jamani
Habari yako shemela.Mfyuuuuu endelea kudanganywa
Sawa, utanifunza kidogo.Kisambaa hiko hakina tofauti na kizigua maka akee si unajuwa mkoa mmoja
HahahaPunguza bhana, mwishowe utanidai mabilioni ya hela bure, mpaka sasa imefika laki 3, 24 elfu mia 5 na 70
Weka picha edenUjue huku hatupendi kujitambulisha sisi wana siasa ila hakuna babu hapa unaongea na kijana wa kichaga kwa kichaga tunaita chaga boy
Nimemwona nimefurahi hatari.Mbebez wako kaja jamani
Karibu tena shemHabari yako shemela.
Leo niko happy.
Asanteh kwa mwaliko nimemwona.
Nimeridhika japo kimtindo.
Pole mnoo bandugu.Asante ,nimewamis pia ila nitakuwa naingia kwa machale
Naogopa kuchkkoza ugonjwa
Yaani hata story nimeacha kusoma
HahahaSawa, utanifunza kidogo.
Ngoja akujeNimemwona nimefurahi hatari.
Mimi naupenda!!Hahah watu hawapendi ukubwa
Kama kibabu mie!!Halafu usikute ni mababu