omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,686
Nimekaribia shem,Karibu tena shem
Niliapa kuwa nitakuwa na LIKE tu mpaka pale nitakapo mwona hatimaye leo nimemwona.
Thats why unaniona.
Nimekaribia shem,Karibu tena shem
Tulia kama yule mbunge wa wapi sijui...Mbona me cjakutambua
Salama mkuu, yako je!?Habari yako mkuu?
Sawa shunie akeeSawa maka akee Mungu akufanyie wepesi
Funga domo lako hilo km boko!! Angalia usimeze nzi tuuKhaaaaaaa mdomo wangu umebaki wazi kama wa ushimen

NabishaKama kibabu mie!!
MhNimekaribia shem,
Niliapa kuwa nitakuwa na LIKE tu mpaka pale nitakapo mwona hatimaye leo nimemwona.
Thats why unaniona.
Kwema mkuu omarion5Habari yako chief?
We na ushimeni mnafananaKhaaaaaaa mdomo wangu umebaki wazi kama wa ushimen
Habari njema kabisa edenKwema mkuu omarion5
Habari ya siku
Yangu njema kabisa mkuu.Salama mkuu, yako je!?
Nafanana nae vipii huyo babuWe na ushimeni mnafanana
Hata siku moja siwezi kuweka picha yangu hapa jukwaaniWeka picha eden
Sasa unafikiri we ukiwa kibabu ndio kila mtu awe kibabu humuKama kibabu mie!!
Nabisha wewe sio kibabuUnabisha hodi au unabisha nini!!?![]()
![]()
![]()