Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hana jimbo yuleTulia kama yule mbunge wa wapi sijui...
Hana jimbo yuleTulia kama yule mbunge wa wapi sijui...
Aweke pchaNabisha
NakaziaAweke pcha
Alienda kwenye maandamano mpaka leo hajarudiHivi Shunie, Lee yuko wapi maana simuoni huku wala jukwaa letu la chelsea kule wala jukwaa la siasa kule
Twende huko moneytalk kashusha thread ya babe wake unakazana na makapuku tu mfyuuuAlienda kwenye maandamano mpaka leo hajarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumebaki mazoea tu niko na mume mwingine jamani sijui katekwa kwenye maandamano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio unavyodanganywa huko endelea kudanganywa tu
Kweli mke mwee msema kweli mpenzi wa Mungu jamani hivi we mwenyewe unamwelewa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Twende huko moneytalk kashusha thread ya babe wake unakazana na makapuku tu mfyuuu
Mfyuuuuuuuu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umenitenga sanaAbeeeeeeeeee
Akikurudia utakubali kuwa naye tena?Tumebaki mazoea tu niko na mume mwingine jamani sijui katekwa kwenye maandamano
ABJ[emoji16]basi ujue bado hujafika ule umri wa kupewa shikamoo hata kwa walio kuzidi umri
Mm na yeye tupo kama ndugu kama rafiki tunasaidiana kwa hali na mali hizi nyingine ni chit chat tu ndio mana ukiniona nae tuko happy tunaendelea kucheka kufurahiAkikurudia utakubali kuwa naye tena?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Umejieleza sana dadake, kjf jf twajua ni utani japo hufikia kufanya kweliMm na yeye tupo kama ndugu kama rafiki tunasaidiana kwa hali na mali hizi nyingine ni chit chat tu ndio mana ukiniona nae tuko happy tunaendelea kucheka kufurahi
Mie huyoooUmenitenga sana
Ni kweli maisha bila utani hayaendi kabisa[emoji13] [emoji13] [emoji13] Umejieleza sana dadake, kjf jf twajua ni utani japo hufikia kufanya kweli
Kuna mahali nikuwa naku tag holaaMie huyooo
NjemaaNko poa hbr ya cku