ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Jaribu sanaHili jukwaa sijaingia muda mrefu mpaka nilianza kupotea leo nitashinda hapa
Pole shoga weeeMzma tu ila macho yananisumbua
Tumosa shemu langu unasema!!!
Pole sana mpenz ndo maana umekuwa adimuAsante ,nimewamis pia ila nitakuwa naingia kwa machale
Naogopa kuchkkoza ugonjwa
Yaani hata story nimeacha kusoma
Mimi ni miongoni mwa wa asisi humu shemuMbona me cjakutambua
Nko poa hbr ya ckuTumosa shemu langu unasema!!!
Ooooh karibu tenaMimi ni miongoni mwa wa asisi humu shemu
Jitahidi ushinde kwa penati.Hili jukwaa sijaingia muda mrefu mpaka nilianza kupotea leo nitashinda hapa
SitakiItikia bana
Hii ndio bongo daressallamHahahaa sawasawa ila isije kuwa alieuziwa cheni bandia naye alitoa hela bandia kwa hiyo ngoma draw
Pole ndugu yangu, allah atakuafu.Mzma tu ila macho yananisumbua
Chamtu huliwa na mtuMh
Acha uchu mke wa mtu huyo ngoja mumewe aone
Yaani mtu uko chini ya 30 halafu upewe shikamoo uitikeHahah watu hawapendi ukubwa
Habari yako mkuu?Jitahidi ushinde kwa penati.
Wacha nipambane na hali yangu ndugu yangu, mengine hayatamkwi kwenye kadamnasi shunie akee..Aiseee
Huwezi kutuambia hata kidogo
Habari yako chief?Yaani mtu uko chini ya 30 halafu upewe shikamoo uitike