Makapuku Forum

Makapuku Forum

MWEZI MMOJA WA MF
Kwanza kabisa nawashukuru Makapuku wote mliojitolea kuisapoti thread hii mpaka leo tumetimiza mwezi mmoja...Mbarikiwe sana na msichoke kuendelea kupendana sababu UMOJA NI NGUVU

1/Mafanikio
*Thread yenye views wengi kwa muda mfupi
*Thread yenye replies nyingi kwa muda mfupi
*Thread yenye mvuto zaidi Jf
*Makapuku kuongoza Top 20 ya likes
*Dharau za wakongwe/akina maarufu zimepungua humu Jf
*Makapuku sasa wana sauti hapa Jf
*Wakongwe wapo hoi

2/Changamoto
*Imeanza tabia ya watu kuanzisha thread kutuzubgumzia sisi.........Tuwapuuze tu
*Kuna watu ni wanafiki wakiwa kwenye thread zingine wanatusema vibaya lakini wakiwa hapa wanajifanya ni wenzetu......Tuwapotezee
*Kuna watu wamekariri kwamba kila ntu anayepost hapa ni kapuku kitu ambacho siyo kweli.....Kuna mamluki wamefuata likes tu tuwe makini
*Kuna watu hugonga tu like bila ht kusoma post mfano mtu anaandika"NYIE WAJINGA" cha ajabu mnampa 5LIKES.......Tunatakiwa wote mumpotezea jumla jumla
*Kumeibuka tabia ya watu kuja kusaka kick tu kwa kuanzisha ujinga/matusi/malumbano.......Dawa yao ni
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE post zao
*Kuna lingine la watu kutetea watu wao badala ya kutetea maslahi ya Makapuku wote......Tuungane kuangamiza mamluki(hawana support yoyote)

Nawapongeza wote
Makapuku oyees.
Once a kapuku always a KAPUKU
No shobo
No Ufagio
No superstar
.......................................................
Hatumbagui MTU.......kila mtu anavuna alichopanda
....................................................
One Love
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom