Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Hilo kaburi limegoma kufukulikaDuuh Usikose kutuita kuja kula pilauu..
Hilo kaburi limegoma kufukulikaDuuh Usikose kutuita kuja kula pilauu..
Ahahhah ukajua kaamua tu kujiwekea picha ilimradiPilika hizi zishindwe, ujue asubuhi niliona picha hiyo mahali sikuwa makini kumbe ipo kule, halafu mama naye kimya hii ni zaidi ya surprise
Mmh hiyo ya zamani jaman tatizo unapotea ukiingia jlw unasahau kapuku kama makaveliNakupenda sana mama, Mungu azidi kukubariki
Pole sanaMkuu huku nishapata zaidi ya chuchu tano lkn tatizo kwenye umri tuu ndio wanakataa eti mm bado dogoo
DuhHadi nyagei kabadili avatar ...babaaeee
Mbona mnaonanagaSijamuona mpaka sasa
Ni kupendana sio kupendwaUnacheza na kupendwaaa
Khaaaa sio kwa kufukua makaburi hiviNilikuwa natest camera ya simu [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini wewe lakiniSamahani kwa kufukua makaburi
Hello Nyagei
WatsupHello Nyagei
[emoji7]Yes mamy tuko hapa tunabembelezana tu[emoji5] [emoji5]
Love you so much baby, kumbuka leo ni siku ya mama mchungaji kuongeza idadi ya miakaWewe ni Gentleman hubby[emoji7] [emoji7]
Hili nalo ni kaburiYaaap at time niko porin alikuwa anaingia with my id hii ndo maana kapuku anaweza kuendana na sisi
Nop kila mtu yuko kivyake
Ndio mwaya... Mtunze mdogo wangu Nyagei, nampenda mnoo
Yaaap at time niko porin alikuwa anaingia with my id hii ndo maana kapuku anaweza kuendana na sisi
Karibu wifi akee
.Usijali nampenda sana
Nimepitia nyuma sijaona ile picha[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana huwa sifuatilii dp za watu itabidi nibadilikeAhahhah ukajua kaamua tu kujiwekea picha ilimradi
Kitambo kweli, nilikuwa nakuja kwa kubip anisamehe mamaMmh hiyo ya zamani jaman tatizo unapotea ukiingia jlw unasahau kapuku kama makaveli
Wapi?Mbona mnaonanaga