Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Kumbe kuna kuna good moment zilinipita hapo nyumaKhaaaa sio kwa kufukua makaburi hivi
Kumbe kuna kuna good moment zilinipita hapo nyumaKhaaaa sio kwa kufukua makaburi hivi
Vitu konki hivyo shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nini wewe lakini
Niko kwenye kikao mkuu..Nimepitia nyuma sijaona ile picha
Love you so much baby, kumbuka leo ni siku ya mama mchungaji kuongeza idadi ya miaka
Hahaha
Mwambie baba paroko nyagei aache kufukua makaburi bhanaaMmh hiyo ya zamani jaman tatizo unapotea ukiingia jlw unasahau kapuku kama makaveli
Zima data boss, baadae tutayajengaNiko kwenye kikao mkuu..
Afu naona notification zako kibaoooooo
Kumbe ni makaburi ya mwaka jana mwezi August ndio unayafukua...
Hebu acha hizooo mkuu [emoji41]
Ngoja nizime data mkuu..Zima data boss, baadae tutayajenga
Kajamaa kashenzi sana hakaMwambie baba paroko nyagei aache kufukua makaburi bhanaa
Heshima yako..Ngoja nizime data mkuu..
Wee endelea kuyafukua kwanza..
Nitakuja kuyazika baaadaye kaka..[emoji3][emoji3]
Hahahaaa...Kajamaa kashenzi sana haka
Hahaaa leo nimepiga kavu mzee si unajua katumbo kangu tena kasipokula tunatafutanaHahahaaa...
Umeshafuturu tayari.....bado mchanaa ujue [emoji3][emoji3][emoji3]
Roger that boss, natamani urudishwe MogadishuNgoja nizime data mkuu..
Wee endelea kuyafukua kwanza..
Nitakuja kuyazika baaadaye kaka..[emoji3][emoji3]
Heshima yako..
Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta Nimeandika nimefutaKajamaa kashenzi sana haka
Acha kuchezea imaniHahaaa leo nimepiga kavu mzee si unajua katumbo kangu tena kasipokula tunatafutana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje kuibuka shemela acha nizame tu mmNdio maana Tumosa kazama na hataki kuibuka
Shemela mbona kufukua makaburi[emoji134] [emoji134]Sijamuona mpaka sasa
[emoji85] [emoji85][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji85] [emoji85]
Shika shikamana[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje kuibuka shemela acha nizame tu mm
Hataki amesemaMwambie baba paroko nyagei aache kufukua makaburi bhanaa
Kwenye jukwaa lako pendwaWapi?