Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Salama kabisa nakuona tu na kaka yanguMzima mamy, hali yako

Salama kabisa nakuona tu na kaka yanguMzima mamy, hali yako

Oooh ! Ni mdogo wako?Mbona niliweka clear mkuu...
Id yangu ya mwanzo anaitumia my young bro ...niliomba zaman wabadilishe wakagoma bt may ndo nilikuta washaichange soo anayeitumia sio mm
Nakupenda piaNakupenda..
Asante kwa hadithi pacha

Shuni njoo ujibuHahaaa!
Hadi avatar za mtu mmoja?
Ila we ni mbishi T jamaanKuna siku utaulizwa swali kama lee empire..
Then utareply kama lee lyon...!
Trust me..!
Mwambie naja kunywa chaiWifi yako yuko anatengeneza chai..
Mimi ndio namalizia kusafisha uwanja hapa.
Shikamoo jamanMzima mamy, hali yako
Nop kila mtu yuko kivyakeKuna siku utaulizwa swali kama lee empire..
Then utareply kama lee lyon...!
Trust me..!
Si unajua nilivyo muoga Baba DNianzie wapiii
Tuko salama shemelaNaamini mmeamka salama...
Nawasalimia tuu napita
Ndio mwaya... Mtunze mdogo wangu Nyagei, nampenda mnooSalama kabisa nakuona tu na kaka yangu![]()
Yaaap at time niko porin alikuwa anaingia with my id hii ndo maana kapuku anaweza kuendana na sisiOooh ! Ni mdogo wako?
I didn't know mkuu..
Karibu wifi akeeMwambie naja kunywa chai
Baba D asikuchoshe jamanNop kila mtu yuko kivyake
Usijali nampenda sanaNdio mwaya... Mtunze mdogo wangu Nyagei, nampenda mnoo
SijamboShikamoo jaman
Asante wiiKaribu wifi akee
Mwenyewe