Ahsante sana mtaasisiTafasiri Unavyoweza: Kunuka Sio Kuoza
Unakumbuka mambo ya kuchanganua sentensi kwa njia ya matawi na njia nyingine, muda umepita sana lakini kujikumbusha ya zamani si mbaya na hasa kama yanakuongezea maarifa. Unaweza kulichambua neno/kitenzi kunuka utakavyo na ndiyo maana hiki kipengele kipo hapa, unatafasiri unavyoweza, na si lazima wote tuwe na tafasiri moja juu ya jambo au kitu fulani. Wengine tafasiri hutegemeana na mazingira, tafasiri ya juzi si ya jana na haiwezi kuwa na ulazima kuwa hivyo hivyo kesho na kesho kutwa, tafasiri unavyoweza.
Wengi wetu ni watumiaji wa bidhaa tunazonunua madukani au magengeni, baadhi ya bidhaa hizi huwa zimeandikwa muda wa matumizi ambao kwetu tumeupa umaarufu wa expire date. Leo nitakufanya utafasiri tofauti kidogo na hata ukibaki na tafasiri yako sio mbaya maana ndiyo lengo la makala haya. Hivi unajua kuna tofauti ya sell-by, use-by, best-by na expire date? Yes, nimeandika haya maneno kwa kiinglish maana ndiyo huwa tunaona kwenye bidhaa nyingi tunazonunua.
Tumekuwa na kawaida ya kutupa bidhaa tulizonunua baada ya kuona tarehe kwenye bidhaa husika ikionesha muda wake umepita. Hii inaweza kuwa ni sawa na au isiwe sawa, nitafafanunua;
Tumia kabla ya- hii ni ilani inayoonesha mnunuzi anaweza kuupata ubora wa bidhaa aliyonunua kwa kiwango kizuri kabisa (freshness) na tarahe ikipita haimaanishi kuwa bidhaa hiyo imeharibika. Uza kabla ya- hapa mlengwa ni muuzaji, auze bidhaa hii na muda ukiisha aitoe kwenye makabati na wauzaji wengine hu-markdown- kuuza kwa punguzo bidhaa husika, bidhaa kama mayai, maziwa, maua, ni maarufu kwa hili. Ubora kabla ya- hapa bidhaa unayonunua inatajwa kuwa ni bora kwa kipindi kilichooneswhwa kwenye karatasi.
Usitupe tu bidhaa kisa umeona maneno hayo hapo juu, ila ukiona imeandikwa expire date- basi hiyo tupa. Harufu ya nguru haimaanishi kuoza bali ndo ubora wake. tafasiri Unavyoweza
LahaulaEnzi zile bhnaaa...
Hivi unakumbuka siku ile tunapigana kiss kwenye fence ya chain?
Umekaa upande wa pili wa fence na mimi niko upande mwingine...[emoji11][emoji11]
Do you remember?
Wewe piga tu angani itamfikia popote alipoAfu kidudu mtu from no where kinakuja na kukuita mke wangu..
Nitapiga mtu pyuu pyuu mimi.
Muchas gracious mtaasisiMuziki: Wiki Njema
Nikushukuru sana mjomba wangu Lyon Lee kwa kuongoza kipengele hiki Ijumaa, Asante sana na jukwaa hili ni zuri kwa sababu wewe upo, pamoja na kunisingizia mambo kweli lakini nitafanya nini sasa wakati wewe ndo anko wangu. Nikusalimie Kapuku mwenzangu na nikutakie wiki Njema , leo ni jtatu FYI.
Wikend kwangu ilikuwa poa sana, niliangalia movie mpya Black Panther , nikaipenda. Usidhani nilienda jumba la senema, la, mambo ya kudownload tu. Si unajua anko wangu kwake ana Wi-Fi so nikatake advantage wikend wakati alipoenda kusuluhisha mgogoro wake na mchepuko wake mpya.
Muziki sasa, nisikuchoshe ila itoshe tu kusema wewe kuwepo hapa pamoja na tofauti zetu, unalifanya MF kuwa sehemu Bora kabisa kuwepo
3,4,6 najaribu kuzitafutia muda hayo ndio maeneo mazuriHvi shemela ?
Ushawahi kukulwa mazingira yasiyo rasmi?
Kama vilee.
1. Jikoni
2. Bafuni
3. Beach/ufukweni
4. Balcony/ kibaraza cha ghorofani
5. Kwenye ngazi
6. Mtoni
Aiseeee! Huwa hizi moment hazijirudii...kama hujawahi kuonja mautamu ya hayo maeneo pambana baba yeyooo akakukule hata moja ya hayo maeneo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
AhsanteHayo mazingira yasiyo rasmi nimekulwa sana halaf daah game inakuwa tamu sana acha niishie hapa tu
Habari yako e2nHi makapuku
Hilo jina ni la jinsia pendwaIngekuwa enzi ile ya kapuku anaulizwa jinsia
Amen ubarikiwe mama[emoji524]Imeandikwa katika ZABURI 37:5 kuwa "umkabidhi Bwana njia yako,pia umtumaini,naye atafanya"
Hivyo ninaikabidhi siku hii mikononi mwako,Bwana itawale katika jina la Yesu.AMEN
Sitaki kuamini kwamba today is her day lovely momHappy birthday to u mum [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Yesu wetu azidi kukutunza na kukulinda love uuuuuuuu![]()
Hiyo picha ilinipita me kuna siku nipo barabarani naona mscania huo juu umeandikwa shululu nikasema kimoyo moyo shemela wangu sio wa mchezo mchezoMpaka na picha nilishaileta humu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe piga tu angani itamfikia popote alipo
Ahahhaha enzi zenu mngeshaulizaHilo jina ni la jinsia pendwa
Unaachaje kujua bday ya mama ako lakiniSitaki kuamini kwamba today is her day lovely mom
Happy birthday lovely mom mwenyezi Mungu akuweke mpaka hapo uje ule matunda ya mjukuu wako
Cjambo shemela hbr ya ckuTumo hujambo
HBD mumy[emoji524]Imeandikwa katika ZABURI 37:5 kuwa "umkabidhi Bwana njia yako,pia umtumaini,naye atafanya"
Hivyo ninaikabidhi siku hii mikononi mwako,Bwana itawale katika jina la Yesu.AMEN
Ndio maana Tumosa kazama na hataki kuibukaHiyo picha ilinipita me kuna siku nipo barabarani naona mscania huo juu umeandikwa shululu nikasema kimoyo moyo shemela wangu sio wa mchezo mchezo