Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji3][emoji3]Hili nalo ni kaburi
[emoji3][emoji3]Hili nalo ni kaburi
Mambo ya dogie sitaili [emoji3]Kwenye jukwaa lako pendwa
Hahahaa..[emoji3][emoji3][emoji3]Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta Nimeandika nimefuta Acha kuchezea imani
Nimetoka juzi sudan...Roger that boss, natamani urudishwe Mogadishu
Pambana na afya yako mkuu..Hahaaa leo nimepiga kavu mzee si unajua katumbo kangu tena kasipokula tunatafutana
Wizi wa nini mkuu?Huu ni wizi
Weee...Kinasafishwa kinaliwa tena
Makaburi kuntuuSamahani kwa kufukua makaburi
Happy womb escape mama mchungaji.[emoji524]Imeandikwa katika ZABURI 37:5 kuwa "umkabidhi Bwana njia yako,pia umtumaini,naye atafanya"
Hivyo ninaikabidhi siku hii mikononi mwako,Bwana itawale katika jina la Yesu.AMEN
Amen Amen my Love asante kunitakia amani na birthday njema namshukuru Mungu kunifikisha umbali huu.Happy birthday to u mum [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Yesu wetu azidi kukutunza na kukulinda love uuuuuuuu![]()
Amen and Amen asante sana mwananguSitaki kuamini kwamba today is her day lovely mom
Happy birthday lovely mom mwenyezi Mungu akuweke mpaka hapo uje ule matunda ya mjukuu wako
Thanks LoveHBD mumy
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Pilika hizi zishindwe, ujue asubuhi niliona picha hiyo mahali sikuwa makini kumbe ipo kule, halafu mama naye kimya hii ni zaidi ya surprise
Amen my SON ASANTE BARAKA ZA MUNGU BABA ZITAWALENakupenda sana mama, Mungu azidi kukubariki
Mama mchuchu happy birthday mama kipenziii
Niko na binamu Obe tunaandaa mazawadiiiiii ...kuna ujio maalum
.....mbona mimi nakuwaga wa mwsho kujua jameni, hivi humu kuna kampeni ya kisirisiri kuninyima taarifa etieeeeHappy birthday to u mum [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Yesu wetu azidi kukutunza na kukulinda love uuuuuuuu![]()
Wa mwisho kujua wapii wakati unakwepa majukumu binamu wangu ..........mbona mimi nakuwaga wa mwsho kujua jameni, hivi humu kuna kampeni ya kisirisiri kuninyima taarifa etieeee
Ngoja nifunge domo langu binamu lakini hipo siku...anko, hivi kwanini mimi ninakuwaga wa mwisho kujua? Au kwa sababu napenda kula ukoko so hata kama ninajua ninakuwa nasahausahau!!
Halafu hii ya mazawadi ungeweka siri iwe sapurayisi hadi tupate magift pepas. Wewe unataka tuweka zawadi nzuri kwenye sandalusi