Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ha ahahahhaah, hizo nyayo sio zangu, nivaa buti sikupekua.

Wewe ndo ulipekua kule Rombo baada ya miezi Tisa upekuzi ukaleta majibu, wataalamu wakafanya upasuaji , sasa valentini hii
binamu ya romboo ebu tumuachiee mrombo mwenyewee kiukweli napitia wakati mgumu kuliko ule wako wa kusoma phd ....wanasema kazi hipo .....

Ila binamu vipi ulitingwa sana mpka ukaamua kumchukua mama zainabu ??? Make tulishasema wake za watu mwaka huu hapana kipi kimekukutaaa...ulijua sitajuaaa ila nimekubambaaaa
 
...lol! sema pole pole, mama Zai ana ndugu yake humu Makapuku, na aliniacha baada ya mimi kuamua kuhamia Mtwara. Ila akanishangaza sana kumbe yule muuza madela ulitangaza kumuoa?!!
 
Great-Mickey-Mouse-Week.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom