Binamu kwa heshima yake kumepambazuka mubashara kabisa na mm bila kinyongo kaniagiza magazetiii nayaleta kama nilivopewa ...
Akya kya Kya Kya Kya Kya Kya Kya Kya Kya uachagee mauongooo alikufumania
Naomba ya kwangu tusiyaongelee binamu make tar 14 ni kesho kutwa na nshashonewa yangeyangeee
Shunie alibet simba jana atakuwa amebutuaa mchekiii mshikajii wakoNimetembelea Mkuu! Habari yako !
Bhas leo tusainiii katiba yetu ili hii wiki tufaidii bila kuharibianaaHa ajahhahaha! Yange yange itapendeza zaidi.
Me najipanga nimpe zawadi BH , sasa usianze zile mambo za mama Zai maana nitalipua ishu yako na zari
Shunie alibet simba jana atakuwa amebutuaa mchekiii mshikajii wako
Mwalimu wake sijui ndo kamtekaa ...make now mikeka shunie anacheza nayo tu
Akya kya Kya Kya Kya Kya Kya Kya Kya Kya uachagee mauongooo alikufumania
Naomba ya kwangu tusiyaongelee binamu make tar 14 ni kesho kutwa na nshashonewa yangeyangeee
yangeyange
Mishe ziko poaa namsubiria shunie hapaPoa kabisa mkuu,
Mishe niaje ???
Usichekeee shemuu![]()
![]()
yangeyange
MamboUsichekeee shemuu
Nawe pia Obe ubarikiwe