Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Yaani uko serious kabisa kuniamkia shikamoo na kuniita mkuu, leo!!! Unanitakia nini lakini , au umetumwa uniharibia michakato yangu ya furahiday

Yaani uko serious kabisa kuniamkia shikamoo na kuniita mkuu, leo!!! Unanitakia nini lakini , au umetumwa uniharibia michakato yangu ya furahiday

MfyuuuHongera! Endelea kukazana sana kikomae
Shikamoo binamuYaani uko serious kabisa kuniamkia shikamoo na kuniita mkuu, leo!!! Unanitakia nini lakini , au umetumwa uniharibia michakato yangu ya furahiday
Mkuu asanteTafasiri Unavyoweza: Wakumbuke Wabaya na Wazuri
Ni Ijumaa leo kama ulikuwa umesahau, na ninapokukumbusha sio kwamba najaribu kujaza aya kwa maneno yasiyohusika. Utaelewaje ninachoandika kama tu kwa kuanzia hujui leo ni lini. Tafasiri Unavyoweza.
Ni jambo zuri kuwa na kumbukumbu, ndiyo, tunaweka kumbukumbu ya Watu, vitu na masuala ya kibinafsi au familia. Kama taifa tunaweka kumbukumbu na kuzisheherekea baadhi. Lakini, mara nyingi sana tunasheherekea zile kumbukumbu nzuri tu na kuzisahau zile mbaya. Hatukumbuki mabaya labda kwa kuwa yanaleta majonzi moyoni. Kama tunaweza kukumbuka mazuri yaliyofanywa na watu kitaifa na tunaenda mbali zaidi kwa kuandaa makongamano inakuwa shida wapi tukiandaa kumbukizi kwa watu tuliowapa jina baya kwa ''mabaya" tunayodhani walifanya. BTW, ubaya au uzuri wa mtu ni tafasiri ya mtu na mtu.
Tafasiri unavyoweza, hapa tujitafakarishe kuwa jamii yetu inapaswa kuwakumbuka wote tunaodhani wamefanya mazuri na tuwakumbuke wote tunaodhani walifanya mabaya. Tuwape heshima.
Umeiona ipiii nimeweka mbili acha uvivu katafuteNmeiona moja mke mweee
Shikamoo binamu
Mkuu asante
Mbona huitikii sasa...hujambo aunt yangu. Msalimie BH
Ahahhaha mzee wa rangi mbili..endelea tu kuniita mkuu nikuunganishe na shehe tito
Muziki wa Mdhamini: Kukazana ni Kusaidiana
Unapoweka juhudi kwenye jambo, huko ndo kukazana na hata Mwinyi aliwahi kutuusia tuzidi kukazana sana kwenye migomba kwani tutafungua fursa za ajira na ongezeko la watu tunalolishuhudia basi litakuwa salama kwa chakula. Endelea kukazana sana kwa kuwa hata mkuu katutaka tufyatue, elimu ni bure.

bichwa lako santeee binamuMuziki wa Mdhamini: Kukazana ni Kusaidiana
Unapoweka juhudi kwenye jambo, huko ndo kukazana na hata Mwinyi aliwahi kutuusia tuzidi kukazana sana kwenye migomba kwani tutafungua fursa za ajira na ongezeko la watu tunalolishuhudia basi litakuwa salama kwa chakula. Endelea kukazana sana kwa kuwa hata mkuu katutaka tufyatue, elimu ni bure.

Mtaasisi msalimie makaveli akee jukwaa la chini
...duh, mtaasisi mwenzangu hatuonani bhana, andiko lako la style za mbwa nililifuatilia in case hukudhani sijaliona

Mtaasisi msalimie makaveli akee jukwaa la chini
...duh, mtaasisi mwenzangu hatuonani bhana, andiko lako la style za mbwa nililifuatilia in case hukudhani sijaliona
Niko poa shemeji nimekumiss tu nakuja chini huko kukuchungulia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salamu zimefika hizo, uko poa shemeji
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe now unafanya utalii vizuri.
Nipo mtaasisi

huyo mzee wa kupita kimya kimya