Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Hakuna mpya kwa sasa mpaka baadae watoto walaleNiko poa shemeji nimekumiss tu nakuja chini huko kukuchungulia
Hakuna mpya kwa sasa mpaka baadae watoto walaleNiko poa shemeji nimekumiss tu nakuja chini huko kukuchungulia
Naonahuyo mzee wa kupita kimya kimya
![]()
![]()
![]()
Kumbe now unafanya utalii vizuri.
Nipo mtaasisi
huyo mzee wa kupita kimya kimya
Sawa sawat...hakuna ubaya kupita mbugani, au mnataka mambo mazuri muwe mnafahamu nyinyi tu. Na siku nitamuunganisha na BH aje angalau afanye utalii wa ndani
...porini ukipita na makelele, simba jike si anaweza akakufuata au nyegere akakumbiza kukwapua nyeti usimbake mkewe

Binamu yangu shikamooSishangazwi na kutokuwepo mtu hapa, nashangazwa na ukimya tangu asubuhi.
Najiaminisha wikend ni motomoto 🙂
Sijamuona haha mmoja shululu katekwa
Binamu yangu shikamoo
Binamu bado sijajua jaman..wikend hii aunt, mkeka wako umechanwa? Au wewe ulikuwa na jamvi si mkeka
Binamu nakusalimia lakini sio shikamoo...duh, mtaasisi mwenzangu hatuonani bhana, andiko lako la style za mbwa nililifuatilia in case hukudhani sijaliona
Wapi huko binamu...hakuna ubaya kupita mbugani, au mnataka mambo mazuri muwe mnafahamu nyinyi tu. Na siku nitamuunganisha na BH aje angalau afanye utalii wa ndani
Morning rafiki kipeeenzGood morning kapuku
Uko poa kabisaaa rafikiiii ??Morning rafiki kipeeenz
Niko poa rafikiUko poa kabisaaa rafikiiii ??
Shikamoo babuNiko poa rafiki
Marahabaa mjukuu wanguShikamoo babu
Babu akee shunie shikamooNiko poa rafiki