Makapuku Forum

Makapuku Forum

Enheee huyo huyo, alidhani atabeti kama kwenye mpira!
Alibeti nyumba za mama kwa hela za Waarabu! teh teh teh teh teh!
Daaah BAVICHA hawana adabu Walikula naye raha halafu wakampigia kura Msigwa!
Gwahahaahahahaha, sasa jamaa kachanganyikiwa akaanza kuwavizia Usiku kwenye vibanda vya kitimoto......

Akiona anakukumbuka kama ulikuwepo kwenye kampeni yake utagongwa mikanda ya polisi hadi kichwani,
Ukumbuke hapo ana hasira za kupigwa vitasa na Wajeda baada ya kugoma kusaini kushindwaaaa.........
Tangia siku ile sitaki tena kusikia Betting.........😀😀😀😀😀😀
Hamna bwana kwahiyo alikua anawapiga waliokula hela zake aisee
 
Hamna bwana kwahiyo alikua anawapiga waliokula hela zake aisee

Teh teh teh teh unabisha nini sasa ??
Mzee mwenzangu alichanganyikiwa sana baada ya kukosa.
Akifikiria zile pesa za Waarabu alizokopa, akaamua kutulizia maumivu kwa watu waliokula pesa zake za kampeni!
Zile kampeni walimfanyia fitna sana Mzee Mahiga wakampa mzee wa TFF...
 
nimecheka sana kwani na wewe unaishi iringa anaendeleaje kwa sasa ndio mana huwa nakupenda una vituko sana halaf huwa nakufatilia sana kuna ile I'd yako nyingine ileee nabaki nayo moyoni unaijua unatukanaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom