Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Jana alikuwepo chit chat kwenye uzi wa valentineEeeeh. Jirani yangu. Nilihama ule Mtaa. Basi imekuwa ngumu sana kumuona!
Jana alikuwepo chit chat kwenye uzi wa valentineEeeeh. Jirani yangu. Nilihama ule Mtaa. Basi imekuwa ngumu sana kumuona!
Halaf siku hizi sikuelewi elewi mbona unanihamu hivyoHujui tu vile naumia kukuhamu!
Binamu nifundishe kwanza nikiweza nikishinda za kubet nitakulipa hela yako
Aaaah. Usihofu, Mimi sio katika wale WASIOJULIKANA!Halaf siku hizi sikuelewi elewi mbona unanihamu hivyo
Usikate tamaa mkuu ukipata kwa kukuelekeza kwa hadhira utaelewa zaidi au mcheki charity atakuelekeza vizuri zaidiRafiki niliishia pale pale sijarudi tena
Mimi na mambo ya Valentine mbali mbali!Jana alikuwepo chit chat kwenye uzi wa valentine
Mmh na hiyo hotel nani atailipia binamuh ahahahahaha, usikonde aunt, nitakufundisha kubet, lakini kwanza inabidi ukusanye wenzako kama kumi hivi mjiunge kama kikundi mtafute hoteli nzuri ambayo nitafikia hapo dar, nije niwafundishe kubet. Wakaribishe wote waliokosa fursa ya forex, betting wasiiachie
Basi kama mtakutana Hata barabarani, mpe Salamu zangu! Nilikuja DSM ktk, kesho narudi shamba!Jana alikuwepo chit chat kwenye uzi wa valentine
MmhAaaah. Usihofu, Mimi sio katika wale WASIOJULIKANA!
PoleMimi na mambo ya Valentine mbali mbali!
Bado unaogopa?
Siwezi kata tamaa nikiwa na mtu karibu nitajua tu halaf app ninayo nitakuja kukupa mrejeshoUsikate tamaa mkuu ukipata kwa kukuelekeza kwa hadhira utaelewa zaidi au mcheki charity atakuelekeza vizuri zaidi
Sawa zimefika unaondoka ndio unaaga mbona ulivyokuja haujasemaBasi kama mtakutana Hata barabarani, mpe Salamu zangu! Nilikuja DSM ktk, kesho narudi shamba!
Naanzaje kuogopa mieBado unaogopa?
mwakalebela wa tff jaman alifanya hivyo
Tangu siku ile useme huangalii sura ngumu, unaangalia Wallet tu, ulinifundisha kuwa mpole!Sawa zimefika unaondoka ndio unaaga mbona ulivyokuja haujasema
Ndio nashindwa kushangaa!Naanzaje kuogopa mie
Aww..hii uliijulia wapi. Yaani umechagua wimbo mzuri sana, au umefaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka huu?


binamu santeee bomba ya nyimbo hiyo nampendaga fally mm binamu ndio mana nakupenda tanteee