Makapuku Forum

Makapuku Forum

...niseme tu kweli, nimepokea salamu yako kwa unyenyekevu mkubwa kama shehe wa DSM baada ya kupita mitaa ya kwa yule dada yetu wa taifa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] nashukuru binamu nmekumiss kwa kweli
 
Mimi pia nimekumiss, kila nikiona lori limeandikwa shululu naangalia kwa umakini nikidhani naweza kukuona lakini wapi , hola
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu kumbe na we huwa unayaona
 
Mama shikamoo jaman obe kaniambia ana mizigo yako kakununulia mafuta yale ya dred dandruff shampoo na spray na perfume

...usisahau nimemnunulia wanja na zile ndude nazopendaga shanga aa tu wewe nikizisema. Na angel face, mascara pia usisahau na zile sabuni za kigoma
 
Back
Top Bottom