Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unacheka ??
Mwanzako Mwakalebela wa Iringa alibet nyumba 3 za mama yake dhidi ya Msigwa kwenye Uchaguzi mkuu wa 2015.
Alichofanywa hakuamini mpaka leo.........."Shunie The Better"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwakalebela wa tff jaman alifanya hivyo
 
...ndo maana nakupendaga, na kwa kuwa umeonakana kuwa upande wangu kwa BH, basi nidai dawa ya wewe kushinda mchezo wa kubet ambao unataka kujikita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nipe hiyo dawa nijue kwanza kubet yaan app bado sijaifuta
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nipe hiyo dawa nijue kwanza kubet yaan app bado sijaifuta

...dawa inauzwa, kwa kuwa wewe mtu wangu wa karibu kwa mbali kidogo, nitakuunganisha kwa hela ndogo tu, elfu 30,000. Usingekuwa nakufahamu ungelipa 22,400,000/= tu
 
Back
Top Bottom