MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
nazinguaje sasa
Hahahahahaha,
Unajua Betting imekaa kiume sana bwana!
Sasa wewe unaanza kuweka mzigo daaah, halafu hata mpira hufuatilii.
nazinguaje sasa
Zama zimebadilika mpaka wadada wanabet ndio mana nimepata hamu na mm ya kutaka kujua Moira nafatilia jamanHahahahahaha,
Unajua Betting imekaa kiume sana bwana!
Sasa wewe unaanza kuweka mzigo daaah, halafu hata mpira hufuatilii.
Jaman haya nipe basi babuHa ha ha ha ha ha.. Toka lini mtu akaomba kwa babu yake? Huwa anadai Kwa sababu ni haki yake!!!!
Zama zimebadilika mpaka wadada wanabet ndio mana nimepata hamu na mm ya kutaka kujua Moira nafatilia jaman
Daaah, umeanza liini kufuatilia mpira?
Haya bwana na kila la kheriiii!

hurumia mbavu zangu
Binamu shikamooTafasiri Unavyoweza: Tambua Uendeako
Kuna msemo usemao kuwa hupotei ukokujua, sawa, lakini kwanini uende sehemu ambayo huijui? Inawezekana hujafika ndiyo, lakini kwa zama hizi za ramani na google map, ni ngumu kuanza safari ukiwa hujui chochote kuhusu unapotaka kwenda. Mtu makini hufanya utafiti kwanza wa kule anakotaka kwenda kwa sababu anajua alikotoka.
Na ukiamua kuianza hiyo safari basi ondoka umekula kabisa maana hukujui uendako bali utokako ndo una hakika napo. Hili linatumika kote kote, kwa mwanafunzi kwa mfano, jipime uwezo wako wa darasani na ukiona wewe unaweza masomo ya sayansi basi jikite kwenye kuitafuta sayansi na maarifa yake na ikiwa wewe ni 'fundi' wa masomo ya sanaa basi usiache kufuatilia maarifa ya sanaa na viambatisho vyake.
Ikiwa wewe ni mwanachi unayejitambua, ni vizuri ukasoma ilani ya chama ulichokikabidhi uhuru wako ili kikutawale na kuleta maendeleo kwako na jamii huku kikikuhakikishia usalama na uhuru. Kama hakikupi ulichoamua kujinyima (binadamu wote tuna hulka ya unyama na kama si kuwepo kwa serikali basi pasingetosha) fanya mabadiliko. Unaweza maana kipengele hiki unaruhusiwa kutafasiri unavyoweza.
![]()
TanteeeMuziki: Bila Maandishi
Toa mkono upokee mjukuu wanguJaman haya nipe basi babu
Huo hapo babuToa mkono upokee mjukuu wangu
Tafasiri Unavyoweza: Tambua Uendeako
Kuna msemo usemao kuwa hupotei ukokujua, sawa, lakini kwanini uende sehemu ambayo huijui? Inawezekana hujafika ndiyo, lakini kwa zama hizi za ramani na google map, ni ngumu kuanza safari ukiwa hujui chochote kuhusu unapotaka kwenda. Mtu makini hufanya utafiti kwanza wa kule anakotaka kwenda kwa sababu anajua alikotoka.
Na ukiamua kuianza hiyo safari basi ondoka umekula kabisa maana hukujui uendako bali utokako ndo una hakika napo. Hili linatumika kote kote, kwa mwanafunzi kwa mfano, jipime uwezo wako wa darasani na ukiona wewe unaweza masomo ya sayansi basi jikite kwenye kuitafuta sayansi na maarifa yake na ikiwa wewe ni 'fundi' wa masomo ya sanaa basi usiache kufuatilia maarifa ya sanaa na viambatisho vyake.
Ikiwa wewe ni mwanachi unayejitambua, ni vizuri ukasoma ilani ya chama ulichokikabidhi uhuru wako ili kikutawale na kuleta maendeleo kwako na jamii huku kikikuhakikishia usalama na uhuru. Kama hakikupi ulichoamua kujinyima (binadamu wote tuna hulka ya unyama na kama si kuwepo kwa serikali basi pasingetosha) fanya mabadiliko. Unaweza maana kipengele hiki unaruhusiwa kutafasiri unavyoweza.
![]()

Muziki: Bila Maandishi
Ubarikiwe Obe
Mimi mzima kabisa pole na majukumu ya siku nzima na Mungu akubariki sana...nashukuru, hujambo wewe lakini
hurumia mbavu zangu
Mama shikamoo jaman obe kaniambia ana mizigo yako kakununulia mafuta yale ya dred dandruff shampoo na spray na perfumeUbarikiwe Obe
Binamu nimemwambia mama ujumbe wako zawadi zake ulizomnunulia...nakushukuru pia aunt yangu