Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umefikia wapi?
Hapo jaman nitaweza kweli
d022b52b18f4de9dc027d15ef0f21d16.jpg
 
Sasa nachagua najua mm jaman
Fanya ivi bonyeza hapo juu kabisa ya app yako mkono wa kushoto kuna vi mistari vitatu vyeupe alafu scroll kushuka chini utaona sehemu umeandikwa HELP alfu inafuatiwa na maneno How to bet ingia hapo soma maelekezo vizuri alfu ukiona hujaelewa niambie nikueleweshe
 
Arrrghh me nimeshindwa jaman
 
Usincheke basi jaman mpaka mwenyewe nimecheka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nipo darasani hapa nafundishwa jinsi ya kubet
Kweli Magufuli ni mpango wa Mungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaani wewe kama mke wangu keshi tu talaka. Na mali narudisha Khaaaa!
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Yaani wewe Shunie umeanza kubet kweli ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka huyu bwana atoke Ikulu tutaona mengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hamna naona wadada wengi tu kwenye kubet na mahela wanashinda ndio na mm nataka nifundishwe hivi kwa nini lakini unanicheka
Kweli Magufuli ni mpango wa Mungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaani wewe kama mke wangu keshi tu talaka. Na mali narudisha Khaaaa!
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sijaelewa bado hiki kichwa ni kizito babu
Bora usielewe mjukuu wangu.... Usije ukawa miongoni mwa wale maskini milioni 10 wanaomchangia tajiri mmoja 500 kila kichwa ....matokeo yake tajiri anapata bilioni 5 halafu anatoa milioni 50 kuwapa baadhi ya wale maskini... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu ebu niache ningejua ungekuwa unanisumbua kuniomba mahela
 
Back
Top Bottom