Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wana-KF habari zenu Kwa jumla.... Shemeji yangu Lee, mtani wangu Obe &Muba... Wajukuu zangu Shunie na Tumosa... Marafiki zangu shimba wa buyenze ,Sakayo & Transcend, Shedede, Mama mchungaji Madame S and all fellow kapuku...... I wish you all a happy and prosperous New Year

Asante sana mdau, ni furaha kukuona na kukutakia 2018 yenye mafanikio, afya na furaha
 
Tafasiri Unavyoweza: Soma Maelekezo, Badilika

Mambo hubadiliki, Hilo halina ubishi. Kilichotokea miaka kumi iliyopita hata kama ni kile kile bado kitakuwa na mabadiliko, usipuuze kuyaangalia mabadiliko na weka mazoea pembeni kabla hujafanya leo ulichokifanya miaka 10 nyuma.

Wengi wetu tunajijua kwa kutosoma maelekezo, unanunua huduma fulani kwa mfano, je unasoma kinachoambatana na huduma hiyo? Tunajiunga na JF je tumesoma haki zetu, au kwa mazoea hatuhitaji kupitia zile kurasa za maelekezo.

Tafasiri Unavyoweza, je kutosoma maelekezo ni mwendelezo wa kumomonyoka kwa maadili sababu ya utandawazi? Unajiuliza inakuwaje msomi anasaini mkataba unaotunyonya. Tumekuwa hatujui misamiati, less grammar, hatuko makini, uchambuzi hafifu na hatujitoi (less dedication) na mbaya linaloumiza ni kuwa hakuna anayejali na ukionekana kujali unaonekana mnoko. Soma maelekezo, una nafasi ya kujua mabadiliko.
 
Muziki: Huhitaji Leseni Kuendesha, Funga Mkanda

Maisha yanakwenda kasi sana, kataa kubali maana sijauliza swali ujibu ndiyo au hapana. Ukweli unabaki kusimama muda wote na uongo hata ukisimama si muda mrefu utachutama kabisa na kwa aibu kubwa. Ninakusalimia wewe Kapuku ambaye unalifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kuwepo, nipo kwa sababu wewe upo. Asante sana.

Nilikuwa najisomea gazeti na nilivutiwa na katuni, yeah, ninapenda kuangalia katuni na kuzisoma, huwa zinawasilisha ujumbe kwa maana kubwa sana. Sote tunajua kuendesha kiuhalali kunahitaji kwanza upitie mafunzo (namaanisha kuendesha barabarani), upate majaribio na kisha ndo unaruhusiwa kukata leseni, hapo utaitwa dereva kamili na una nafasi ya kutumia barabara pamoja na watumiaji wengine. Lakini si kila anayeendesha kaipitia hizo hatua, wengine unakuwa umekula mlo mbaya na unasikia leo ninaendesha na sifungi mkanda kama dereva mwingine na ninapoendeshea nakuwa peke yangu nguo ya ndani magotini

Muziki sasa, furahia muziki maana kesho ikimpendeza Manani ni furahiday

Binamu asantee
 
Wana-KF habari zenu Kwa jumla.... Shemeji yangu Lee, mtani wangu Obe &Muba... Wajukuu zangu Shunie na Tumosa... Marafiki zangu shimba wa buyenze ,Sakayo & Transcend, Shedede, Mama mchungaji Madame S and all fellow kapuku...... I wish you all a happy and prosperous New Year
Same to you ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom